Wakuu,
Nimetafakari sana nimeona ni muda muafaka sasa wa kukutanishwa na ndugu zetu walioko mataifa mbalimbali hasa Amerika walitoka Africa wakati wa biashara ya watumwa. Kwa sasa technologia na human genetics ni kubwa mno tunaomba mataifa yaanze utaratibu wa kutukutanishwa - Kwa mfano...
Nchi yetu inashuhudia tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa sasa. Basi kutokana na shule nyingi za umma kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi basi ni vyema kuajiri Manesi kwa ajili ya kutoa huduma ya dharura ya kitabibu kwa wanafunzi wanaopata matatizo ya afya, wahasibu kushughulikia suala zima la...
Ukiptia mitandaoni na magazetini unagundua kwamba kuna watu wengi waliumizwa na utawala wa awamu ya tano. Utagundua pia watu sana hasira na baadhi ya wateule wa awamu hiyo na wapo tayari kulipa kisasi.
Kwa uchache wanatajwa Sabaya, Makonda na wengine.
Ili tuoneshe ustaarabu uliotukuka kwa...
Katika kipindi cha awamu ya tano kilichojibatiza na kujiita serikali ya "mwendazake" ampapo mzee wa Lupaso RIP Ben Mkapa alilikemea hilo bila kificho.
1. TRA waligeuka kuwa genge fulani la wahalifu kwa kupora pesa kwa wafanyabiashara kwa kuwabambikiza kodi za juu na za uongo ili kutengeneza...
Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliotaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
Imekuwa mazoea spika Ndugai kuotoa maamuzi ya kisheria kwa kadri anavyojisikia.
Wakati Lipumba alipowafuta uanachama wabunge wa viti maalum wa CUF, Ndugai aliwafukuza wabunge wale bila kuhoji. Aidha CCM ilipomfuta uanachama Sofia Simba, alimfukuza ubunge bila kuhoji.
Cha kushangaza Mwambe...
Wakati wa kupigania Uhuru Nyerere ilibidi asafiri kwenda ulaya na Marekani kuhutubia umoja wa mataifa ili aaminiwe apewe uhuru.
Kwenye njaa ya mwaka 1984 nyerere pia alipanda ndege kwenda kuomba msaada wa chakula na akapewa mahindi ya yanga. Uku nchini kwake akiendelea kuwaimbisha watu siasa...
Wingu la siasa za nchi yetu limechafuka kwa mijadala mbali mbali kuhusiana na maswala muhimu ya kitaifa yaliyoibuliwa na ripoti ya CAG pamoja na comments za wadau mbali mbali kuhusiana na ripoti hiyo.
Ripoti hiyo imegusia unaosemekana ni ufisadi uliotokana na mambo yanayohusiana na mikataba...
Hatimaye wakuu wa EA wamepata chanjo ya kujikinga na gonjwa hatari la Corona, isipokuwa Rais wetu Mama Samia.
My Take
Uzi hauhitaji hoja yeyote,ni taarifa tu
Kuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu...
Watu huangamia kwa kukosa maarifa, lakini watu huangamia kwa upumbavu wao au kiburi chao.
Sisi kama Taifa na dunia kiujumla tunalo la kujifunza kutoka Uchina na nchi za Asia, kulekule ambapo ugonjwa wa Korona ulianzia! Wao waliweka sheria ya lazima kuvaa mask ukitoka nje na hiyo sheria ilikuwa...
Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.
Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.
Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao.
Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha...
Ni mengi yameletwa hapa jukwaani kwa muda mrefu na kwa awamu tofauti tangu zama za utawala wa Mr. Clean a.k.a Ben Mkapa ambapo jukwaa hili lilianza rasmi likijulikana kwa jina la @JamboForums.
Alipoingia Mkwere a.k.a Jakaya Kikwete, naye aliendelea kupitia pitia
JamiiForums ambapo mengi...
ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu.
Tumetoka katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 ya mwezi Oktoba, uchaguzi ambao ulitawaliwa na uchafuzi mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.