Kuwa muwazi, mara ya mwisho kubaili mswaki ilikuwa lini, ilikuwa ni muda gani umepita kabla ya kununua mswaki mwengine.
Binafsi mimi kama mimi kwa asili yangu nilikuwa natumia mswaki hata miezi minne ama mitano, kwa sasa nasaidiwa na mke wangu anabadilisha kila mwezi, bila hivyo ningeendelea...