muda mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hukumu ya Mdude Nyagali ni leo 14|06|2021

    Leo Juni 14,2021 ni siku ya Hukumu ya Mpaluka Nyagali Mdude (32) kwa jina maarufu Mdude CHADEMA. Namuombea Mdude, Hakimu atakaye soma hukumu Mwenyezi Mungu ampe Hekima kama ya Mfalme Suleiman. Awali Upande wa mashtaka umemuondolea kada wa chadema, mdude nyagali shtaka la uhujumu uchumi...
  2. Jinsi nilivyotamani kumuua jirani yangu aliyenipora sehemu ya kiwanja changu

    Habari wadau..! Dunia imejaa dhulma na chuki sana kama haujawahi kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani. Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu. Hauwezi...
  3. Kama upo mtaani muda mrefu bila kazi, tatizo ni wewe!

    Siingiagi sana huku jukwaa la ajira lakini leo nimepitia post nyingi sana na nimesoma comments mbalimbali za watu. Nachotaka nikwambie tu wewe unaeangaika muda mrefu kutafuta kazi na hupati tatizo sio mtu mwingine yoyote tatizo ni wewe mwenyewe. Yes tatizo ni wewe, japo wengi hatupendi...
  4. J

    Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa muda mrefu

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa Muda mrefu Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde leo ameshiriki na viongozi wa Kata ya Chigongwe kukagua zoezi la kufungua barabara yenye urefu wa kilomita 5.2 kutoka eneo la...
  5. Kwa wale mlio kwenye mahusiano ya muda mrefu mnafanya nini kuhuisha penzi pale linapokuwa limepoa?

    Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU. Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja. Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa...
  6. Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

    Binadamu katika mazingira mbali mbali, hukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa. Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya. Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri. Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya. Kuna waliowahi kushuhudia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…