muda mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Usalama wa vyakula kukaa muda mrefu kwenye Friji

    Niko single. Mwanzoni mwa mwezi huwa nachemsha kilo mbili za maharage. Yakisha poa nayaweka kwenye Friji. Sasa huwa nachota kidogo nakaanga, nasonga ugali, siku imepita. Kwa mtimdo huu harage hilo huwa linadumu mwezi mzima. Je, wadau hii ni salama kwa afya?
  2. J

    #COVID19 Mchakato wa kupata Chanjo ya COVID-19 hauchukui muda mrefu

    Watu wengi wanauliza shughuli nyingi sana kupata chanjo; je, ni lazima mchakato kuchukua muda mrefu? Wataalamu wa Afya kutoka Chuo Kikuu cha Augusta huko Georgia Nchini Marekani wanasema ingawa chanjo za Pfizer-BioNTech na Moderna huchomwa kwa awamu mbili, mchakato huwa ni wa haraka na...
  3. M

    Nini huwa hatma ya kesi zinazochukua muda mrefu sana?

    Nina ndugu yangu ana kesi toka mwaka 2014, yuko nje kwa dhamana. Kesi hii inamtesa sana, hana raha.
  4. F

    Kwa muda mrefu ujao Tanzania haitaweza kupata maendeleo ya maana

    Nimejaribu kuichunguza Nchi yetu inavyoongozwa na mikakati tuliyonayo najiridhisha kuwa ni vigumu sana kupata maendeleo ya maana hata kwa miongo mitatu ijayo yaani comes 2050! Sababu zangu ni hizi; 1. Elimu yetu ni duni sana kwa maana ya maudhui (contents) na inazalisha watu wenye maarifa...
  5. Miss Zomboko

    UN: Watoto 10,000 wameuawa katika vita ya muda mrefu ya Yemen

    Zaidi ya watoto 10,000 wameuawa au kujeruhiwa nchini Yemen katika vurugu zinazohusiana na vita vya muda mrefu katika taifa hilo masikini. Msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na watoto, UNICEF, James Elder, amewaeleza waandishi wa habari kwamba takwimu zilizothibitishwa na Umoja...
  6. Analogia Malenga

    Marekani: Waganda waandamana kupinga utawala wa muda mrefu wa Rais Museveni

    Waganda waishio Marekani ambao ni wakereketwa wa chama cha NUP kinachoongozwa na Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine wameandamana kuelekea Ofisi za Umoja wa Mataifa(UN), wakipinga utawala wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni Kiongozi wa maandamano hayo aliyekuwa NewYork, Mathias Mpuuga...
  7. K

    Wakili mwandamizi wa Serikali (Senior state attorney upatikana kwa umahiri wa kazi au ni kwa muda mrefu kazini?

    Nimekuwa nafuatili Sana kesi zilizofunguliwa Kisutu, Mahakama Kuu na Mahakama ya Mafisadi. Mara nyingi Mawakili wa serikali uongozwa na wakili ambaye utambulika Kama "Senior state attorney", kwa kiswahili kisicho rasmi Ni wakili Mwandamizi wa serikali. Kwangu Mimi maana ya " senior" ni mtu...
  8. Chizi Maarifa

    Kwa wapenzi wa Music na Movies. Wireless earbuds za bei rafiki zinazokaa na charge muda mrefu

    Nahitaji wireless earbuds ambazo zinaweza kaa na charge kwa muda mrefu. Lets say masaa 8-12. Kama unazifahamh please nijulishe. Na bei iwe rafiki tu ya kitanzania.maana nmeshanunua sana na kukuta ni bomu masaa unakuta 3-4 charge imeisha na wameniuzia tsh 50,000 + kuna mtu anasema inawezekana...
  9. L

    Wanaume wametutawala muda mrefu bila suluhisho la matatizo mengi, tumuunge mkono Rais Samia atatuvusha

    Tangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza. Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila mafanikio chini ya wanaume basi tumuunge mkono mwanamke tunaweza kuvuka vikwazo vilivyo dumaza maisha yetu...
  10. Sky Eclat

    Uwekezaji wa nyumba za biashara unahitaji mipango ya muda mfupi na muda mrefu

    Mipango ya muda mrefu inahusu kufanya uwekezaji mkubwa. Tunaongelea nyumba zaidi ya 100 za kupangisha. Hii ni biashara watakayorithi watoto wako na wajukuu wako. Katika mipango hii nunua viwanja hata vikiwa mbali na mji, mji ukipanuka ardhi itaongezeka thamani. Kwa wale waliopata kiinua...
  11. kindikinyer leborosier

    Tatizo la uchovu kupitiliza, mwili kupata ganzi nikikaa kwa muda mrefu

    Assalam wana jamvi, nina tatizo ambalo naombeni mnisaidie, hii kwa sasa si kawaida, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 sasa, ni mwajiriwa katika taasisi binafsi kwa muda wa miaka minne sasa, sijaoa japo nina mpenz ambae yupo mkoa mwingine. tatizo langu ni uchovu uliopitiliza, yaani...
  12. B

    Mbowe: Kwanini atashikiliwa kwa Muda Mrefu

    Kwa mujibu wa katiba yetu ambayo ina halalisha uwepo wa muhimili uliojichimbia zaidi, mahakama ni sehemu ya chombo cha dola. Ni kwa sababu hiyo japo mahakamani kulipaswa kuwa ni sehemu huru na kimbilio ambako haki ingetegemewa kupatikana si nadra kwa polisi au mamlaka kutishia kuwapeleka watu...
  13. Gulio Tanzania

    Hivi jamii zinawaonaje vijana wanaokaa muda mrefu bila kuwa na mwenza

    Nataka kujua huwa jamii huwa wanamchukuliaje kijana wa kiume ambaye amekaa muda mrefu bila mwenza pengine tangu amalize chuo atakaa ata miaka 3 - 5 hana demu wala mke hata mtoto wakuzingiziwa yeye hana Nilishawahi kwenda mahali fulani mizunguko ya hapa na pale sasa kuna nyumba moja Kuna jamaa...
  14. K

    Wanasheria tupeni maelezo kwanini kesi zinachukua muda mrefu?

    Nilivyokuwa na miaka 14 nilipata ajali mbaya ya kogogwa na Gari Arusha. Mimi na rafiki yangu wakati huo tulikuwa kwenye baiskeli tunashangilia kuchaguliwa kuingia form 1. Mimi ndiyo nilikuwa abiria na bahati mbaya ndiyo niligogwa na gari la kampuni ya caterpillar na dereva akakimbia. Bahati...
  15. M

    Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

  16. Influenza

    Lissu: Polisi hawana uwezo wa kukaa na Mbowe muda mrefu gerezani. Mbowe na CHADEMA hatutatoa ushirikiano

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Kijamii wa “Club House” katika chumba kilichofunguliwa na CHADEMA cha “Mashtaka ya Ugaidi ya Mbowe na Katiba Mpya” amesema CHADEMA haitashiriki katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe Amesema...
  17. M

    Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema

    Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako. Ndiyo hilo ni jambo ambalo kila mtu analijuwa (common sense). Vipi lakini ikiwa ni kweli unajitahidi kila siku kutimiza jukumu...
  18. Kibenje KK

    Ukikosa kazi kwa muda mrefu, jaribu kutafuta kazi za Mauzo (Sales)

    Ninatambua kwamba watu wengi wanafuta ajira usiku na mchana bila mafanikio. Ukifikiri kwa makini utagundua kwamba, njia iliyokuwa bora ya kujihakikishia ajira sio kutafuta ajira. Bali ni kutafuta tatizo au matatizo unayoweza kuyatatua. Jaribu zoezi hili; mwezi huu tembelea Ofisi kadhaa popote...
  19. L

    Xinjiang machoni mwangu: Vivutio vya Xinjiang vitaendelea kubaki mawazoni mwa watu kwa muda mrefu sana

    Siku ya leo ni nzuri sana, kwasababu sehemu nyingi nilizotembelea zilinishangaza na kunifanya nikodoe macho hadi kukaribia kutoka. Mvuto wa sehemu hizo utaendelea kubaki mawazoni mwangu kwa muda mrefu sana. Kama kawaida ikiwa ni siku nyingine katika mfululizo wa matembezi yangu katika Mkoa...
  20. S

    Hongera Nape, suala la kukaimu muda mrefu ni tatizo

    Katika mchango wake bungeni mh. Nape Nnauye ameshauri itungwe sheria inayoweka ukomo wa kukaimu. Jambo hili nikweli bora litungiwe sheria ili kuboresha mazingira ya utendaji kazi,uwajibikaji na kuondoa viashiria vya rushwa. Madhara yake yanaonekana Tanga Jiji kwani wapo watumishi waliopewa...
Back
Top Bottom