Habari za muda huu wakuu,
Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kumekua na utaratibu wetu wa kufuata taratibu na kalenda ya kanisa inavyotaka, ni kitu kizuri sana, lakini naona kuna haja ya kuendana na mabadilko ya technology ilikua kuokoa muda
Mfano
1)...
Salaam,Shalom,
Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi.
TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye...
Wakuu,kama tunavyofahamu kuna wabunge zaidi ya 50 kutoka Zanzibar na wengine huchaguliwa kutoka baraza la wakilishi kuja kwenye Bunge la Muungano ambalo kimsingi ni Bunge la Tanganyika kupitia Koti la muungano.
Ambapo wabunge hao kutoka Zanzibar huja kujadili masula ya Tanganyika,hivyo ni...
Kwanza niwapongeze kwa kipindi chote hicho cha uwongozi wenu enyi viongozi wa Simba.Mliitoa Simba Shimoni(kutokuwa maarufu na tishio) hadi kuifanya timu maarufu Afrika kwa hatua mbalimbali ilizopitia chini ya uwongozi wenu.
Mmefanya mengi mazuri ambayo yanatakiwa kubaki kama kumbukumbu nzuri na...
Nadhani wote ni mashahidi kupitia SMO kule Ukraine wa kitu gani haya madude yanaweza kufanya kwenye uwanja wa vita.
Napendekeza jeshi letu liwekeze kwenye teknolojia hii ili kujiweka tayari,napendekeza kwa kuanzia kiwanda cha drone kijengwe Zanzibar.
Au MK254 unasemaje
BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai ya DP World.
Rais wa TLS, Wakili Harold Sungusia amesema kamati...
MHE. FESTO SANGA - NI MUDA MUAFAKA KUONGEZA VIVUTIO VYA UTALII
Mbunge wa Jimbo la Makete Mhe. Festo Richard Sanga amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa 'The Royal Tour' ambao umesaidia kuongeza watalii na kuweka rekodi ya kupokea...
Rais Samia alipoingia madarakani alikuta mtangulizi wake akiwa ameanzisha Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ikiongozwa na Dkt.Faustine Ndugulile. Wizara hii ingawa ilikuwa katika hatua za awali, ilikuwa imeanza kujenga ukaribu na wadau na ndipo mchakato wa kuanzisha Sheria ya Ulinzi...
Kuna wimbi kubwa sana la kughushi nyaraka.
Mikoa kama Morogoro, Dar es salaam na kwingine imekithiri, cha kushangaza. Huduma ya wataalamu wa forensic, kama uchunguzi wa miandiko Jeshi la Polisi limewaweka Dar es Salaam tu.
Kama nyaraka imeghushiwa Tarime, Tandahimba, Kilimanjaro, Kagera...
Viongozi wa kanisa kama mlivyofanya kwa mchungaji Kimaro fanyeni na kwa mchungaji Wilbroad Mastahi wa kimara KKKT.
Huyu mchungaji anaonekana ana ushawishi na ni mpenda naendeleo, amepadilisha sana Kimara, sasa ni muda muafaka kutumia uzoefu wake wa kimara kuboost makanisa mengine.
Mpelekeni...
Wakuu Simba ni brand, siyo kikundi cha wahuni, na kila kilichopo Simba ni mali ya umma (wanachama). Hivyo kumpatia mtu hisa asilimia 49 kinyemela ni sawa na uhalifu.
Tume ya ushindani unapaswa sasa kuingilia kati hili suala la uwekezaji la huyu bwana, maana inavyoonekana mazingira yake ni ya...
Nawiwa kusema kila siku matukio ya ajabu ya kutisha na ya kikatiri yanazidi kuota mizizi nchini mwetu.
Sababu kubwa ya haya matukio yanatokana na msongo wa mawazo wa muda mrefu wenda mtu amefanyiwa hujuma, usaliti, magonjwa ya muda mrefu, kipato duni, kufukuzwa kazi, kukosa ajira, ugomvi wa...
NI MUDA MUAFAKA WA KUINUA VILIVYO VYETU.
Utangulizi.
Mpaka sasa, kumekuwa na imani hafifu kwa watanzania hasa linapokuja suala la kukubali vitu mbalimbali vinavyotengenezwa au kuzalishwa na raia kutoka nchini. Imani hii hafifu imekwenda mbali zaidi hadi kufikia hatua ya kudharau na kukandamiza...
Naomba kutoa Rai kwa serikali!
"Ukicheka na nyani Utavuna mabua" TUCTA must watch out!
Kuna HAKI na WAJIBU wa kila MTU
Haki ya mfanyakazi ni kulipwa ujira wake kama kanuni zinavyosema! LAKINI wajibu wa mfanyakazi ni kufanya kazi bora ili mwajili awe na sababu ya kulipa ujira huo hata Zaidi...
Watu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.
Wakuu nawasalimu
Ifike hatua sasa katiba mpya iweke wazi kipengele cha mgombea binafsi katika ngazi zote za uchaguzi kuanzia serikali za mitaa hadi ngazi ya urais.
Vyama vya siasa vingi vimejaa wakanjanja na walaghai na vimeshapoteza mvuto mbele ya jamii..wamebaki wale masikini njaa ambao...
Kisonoko:
Ni Mtu (hasa Mtumishi wa Kike) mwenye Kudharauliwa na ambaye hajui Kitu chochote
Chanzo: Gazeti la Habari Leo la leo.
Ngoja na Mimi sasa nianze kuangalia katika Sekta mbalimbali za Kiutendaji na Kiutumishi Tanzania nione kama kuna akina 'Visonoko' wengi ili tuwasaidie Kuwarekebisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.