muda muafaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ni muda muafaka sasa kwa shule za serikali kuwa "english medium"kwa sababu...

    1. Tayari sasa ni mwaka wa saba tangu serikali ilipo anza kuanzisha shule za majaribio ili kuona ufanisi wa tija juu ya mabadiliko hayo ambapo hadi sasa mafanikio yameonekana kuwa makubwa zaidi kwa shule zilizo katika majaribio ikilinganishwa na shule za kawaida (zinazo tumia kiswahili) 2. Hadi...
  2. Fundi Madirisha

    Zitto ataiua ACT-Wazalendo

    Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali. Huwezi kuwa mstaarabu kwa...
  3. kacnia

    Ni muda muafaka wa kuliokoa Taifa

    Salaam watanzania wenzangu. Dunia imekumbwa na janga kubwa (uviko19) na kila tabaka limepigwa na butwaa lisijue cha kufanya. Baada ya tafakari ya miezi kadhaa, hatimaye suluhisho maridhawa juu ya janga hili limepatikana. Kutokana na maelezo ya wataalamu juu ya ulazima wa kuendelea kujikinga na...
  4. Imalamawazo

    Ni muda muafaka sasa kwa Yanga S.C kubuni 'Mascot' yenye kuleta hamasa zaidi

    Mascot refers to a person or thing that is supposed to bring good luck or that is used to symbolize a particular event or organization. Mascot ya yanga ni nini? Ni Chura? Hivi kabisa chura ndo inakuwa mascot ya timu? Au ni kandabili? kweli kandambili za kuendea msalani ndo inakuwa mascot ya...
  5. K

    #COVID19 Ifike muda Mwenge wa Uhuru uhifadhiwe Makumbusho ili kupambana na COVID-19

    Leo ulikuwa maeneo ya Chalinze. Tumesimama tangu asubuhi hadi muda huu gari haziendi kisa Mwenge! Wanafunzi wamekatishwa masomo yao wapo wamejipanga mistari hapo kushuhudia Mwenge! Tunaanzaje kupona na hii Corona? Wagonjwa wangapi wameathirika kutokana na kucheleweshwa na misafara ya Mwenge...
  6. Emmanuel Robinson

    HESLB: Ufafanuzi wa taarifa ya deni katika Salary Slips mwezi Juni, 2021

    Hatimaye yale malalamiko kwa bodi ya mikopo kwamba watu wamekatwa lakini deni halionekani kupungua. Baada ya kimya cha muda huku malalamiko yakiendelea wameamua kujibu. Ni wakati mwafaka kwa hazina nao kujibu.
  7. T

    Muda muafaka wa kuanzisha tovuti ya ongea na Rais Samia

    Habari wakuu, Napenda kumshauri mama yetu Samia Hassan, ikimpendeza anzishe tovuti maalumu ya kuweza kupokea malalamiko, maoni na ushauri kutoka kwa wananch wake. Hii itasaidia kubaini tatendaji wabovu,manyanyaso na uonevu katika jamii moja kwa moja, tovuti hiyo ikishakusanya maoni, awepo mtu...
  8. F

    Ni muda muafaka sasa wa kukutanishwa na ndugu zetu

    Wakuu, Nimetafakari sana nimeona ni muda muafaka sasa wa kukutanishwa na ndugu zetu walioko mataifa mbalimbali hasa Amerika walitoka Africa wakati wa biashara ya watumwa. Kwa sasa technologia na human genetics ni kubwa mno tunaomba mataifa yaanze utaratibu wa kutukutanishwa - Kwa mfano...
  9. Wakusoma 12

    Ni muda muafaka kwa sasa Serikali iajiri Manesi, Wahasibu na wataalamu wa manunuzi kwa shule zote za umma

    Nchi yetu inashuhudia tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa sasa. Basi kutokana na shule nyingi za umma kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi basi ni vyema kuajiri Manesi kwa ajili ya kutoa huduma ya dharura ya kitabibu kwa wanafunzi wanaopata matatizo ya afya, wahasibu kushughulikia suala zima la...
  10. H

    Sijawahi kufanya mapenzi, nasubiri muda muafaka ufike

    Ndugu zanguni members wenzangu me ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nasijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote na sio kwamba labda nina tatizo la hasha ila tu nimeamua iwe hivyo mpaka pale nitapopata mwanamke nitakayekuwa na future naye ingawa teyali ninaye ila muda muafaka utapofika nitaweza...
Back
Top Bottom