muda wa kupumzika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali izuie mfumo wa Pre Form 1 hadi Novemba. Watoto wapate muda wa kupumzika baada ya safari ndefu ya elimu ya msingi

    Kumekuwa na mwelekeo usio na afya katika mfumo wetu wa elimu, hususan baada ya mitihani ya darasa la saba. Punde tu mitihani inapomalizika, matangazo ya tuition za Pre Form 1 huibuka kwa kasi, yakichochea hofu na presha kwa wazazi. Wengi hujihisi wanalazimika kupeleka watoto wao, si kwa sababu...
  2. Black nyeti

    JamiiForums Tanzania Hayo mambo ya kuitana mkuu mkuu yanachosha kazini niitwe mkuu humu napo ni mkuu aaah wengine tunahitaji muda wa kupumzika na hizo mkuu

    Tusiitane mkuu jamani wengine kwetu ni kama kelele
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Unampa msaidizi wako wa kazi muda wa kupumzika?

    Wakati wengine wanasema bora kwenda kazini kuliko kushinda na watoto na mzunguko wa kazi za nyumbani, kuna mtu hayo ndiyo maisha yake. Atafanya kazi za nyumbani kama kupika, kufua, kuosha vyombo, kusafisha nyumba na wakati mwingine kuangalia mifugo ya nyumbani kama kuku. Lakini bado ana jukumu...
Back
Top Bottom