muda wa kupumzika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unampa msaidizi wako wa kazi muda wa kupumzika?

    Wakati wengine wanasema bora kwenda kazini kuliko kushinda na watoto na mzunguko wa kazi za nyumbani, kuna mtu hayo ndiyo maisha yake. Atafanya kazi za nyumbani kama kupika, kufua, kuosha vyombo, kusafisha nyumba na wakati mwingine kuangalia mifugo ya nyumbani kama kuku. Lakini bado ana jukumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…