Kuna tabia inakomaa ya wanafunzi hasa kwa Dar kwenda shule saa 12 asubuhi na kutoka 12 jioni, awali tabia hii ilikuwa kwa shule za kulipia za watu binafsi ikawa inapigiwa kelele ila sasa naona hata za Serikali zinafanya hivyo.
Wengi wanaweka sababu kuwa wanawaandaa watoto kwa mitihani ya...