Nina 'likes' nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii, lakini hizo 'likes' hazinisaidii chochote katika utatuzi wa changamoto zangu za kimaisha.
Nini kifanyike ili hizo 'likes' zibadilike na kuwa hela? Mfano mtu aki-'like' mada fulani, akatwe angalau 1000, si tutakuwa matajiri wakuu?
Najaribu...