Mufindi is a town in Mufindi District in the Iringa Region of the Tanzanian Southern Highlands. It is located in the Boma/Mafinga ward. As of 2002, the population of the town was about 5,000.
MHANDISI FATMA REMBO ACHANGIA MILIONI 2 UWT MUFINDI NA KUAHIDI KUTOA PIKIPIKI KWA UWT WILAYA ZOTE MKOA IRINGA.
Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa Ndugu Fatma Rembo mnamo tarehe 11 Machi, 2023 amefanya Ziara Wilaya ya Mufindi ambako aliambatana na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa ndugu Zainab...
Ila Watanzania Kwa kutafuta shortcut hatujambo.
Nyomi lote hili limeenda Kwa Gwajima kuombewa Ili kupata shortcut za unafuu wa Maisha.
Hivi inakuwa namna gani wajameni?
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amefanya ziara ya siku saba kijiji kwa kijiji ikiwa ni utaratibu wake wa kukutana na wananchi wake kila Kijiji angalau mara moja...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Rose Cprian Tweve amekuwa chachu ya maendeleo kwa wananchi wenzake kwa kujitolea kutoa matunzo na mahitaji yote muhimu kwenye kituo cha watoto cha Yerusalemu.
"Mimi kama Mwenyekiti wake Rose wa UWT Wilaya ya...
MBUNGE WA IRINGA, MH. ROSE TWEVE AFANYA ZIARA WILAYANI MUFINDI MKOANI IRINGA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amefanya Ziara Kata ya Saohill, Upendo, Wambi, Changarawe, Kinyanambo na Kata ya Boma. WANAWAKE WA Wilaya ya Mufindi wanasema Mhe. Dkt. Samia Mitano tena mbele ya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limewaaua watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi huku wengine saba wakidaiwa kukimbia katika majibizano ya risasi yalitotokea kiwanda cha Daazhong, kilichopo Changarawe, Mafinga Mjini wilayani Mufindi.
Watu hao wameuawa katika majibizano ya risasi yaliyotokea...
Watu 18 wamefariki dunia papo hapo, katika ajali ya gari Wilayani Mufindi katika barabara Kuu ya Iringa-Mbeya.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Allan Bukumbi amesema kuwa Coaster ilikuwa inatokea Dar kwenda Mbeya
Aidha, amesema kwa taarifa za awali chanzo cha ajali hiyo ni kulikuwa na...
Mafundi wakijenga Kizimba ndani ya Bwawa la Nzivi, Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa kwa ajili ya ufugaji samaki
Uwekezaji mkubwa wa ufugaji samaki kwa njia ya vizimba imetajwa kuwa ni fursa kubwa ya uwekezaji katika Bwawa la Nzivi wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.
Hatua ya uwekezaji huo mkubwa...
Uongozi wa Kijiji cha Igoda, Kata ya Luhunga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa umepongeza jitihada kubwa zinazofanywa na Kampuni ya Foxes Treck kupitia Taasisi ya Foxes Community and Wildlife Conservation (FCWC) kwa kujitolea zaidi ya Tsh milioni 100 kujenga wodi ya wazazi na zahanati...
Hawa ndio viongozi wa kuivusha Tanzania!
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akisonga na kula ugali wa wafungwa katika Gereza la Isupilo, Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, alipolitembelea gereza hilo katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa taasisi zake mkoani humo.
George Michael Uledi.
Tabora, Tanzania.
June, 2021
Naweza nikasema mchakato wa ndani wa CCM wa kuchakata watia nia wa Ubunge mwaka 2020 ulikuwa bora sana pengine kuliko michakato mingi ya nyuma na pongezi za pekee ziende kwa Chama cha Mapinduzi na Serikali yake chini ya hayati JPM,Makamu wake...
Wakuu, naomba kuelekezwa pahala ambapo naweza kununua mashine ya kupasua mbao. Hii iwe ni ya kuhamisha na kwa vyovyote vile isiwe inatumia umeme. Isiwe chainsaw maana inaharibu mbao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.