Hatimaye siku adhimu na tukio muhimu, nyeti na lenye kupendeza kwa Allah na mtume wake, Muda wa kuanza dua kubwa umewadia.
Samaha Mufti wa Tanzania, Mujaddidul Asri, amefungua Dua Kubwa ya Kimataifa leo Alhamisi Alfajiri kwenye msikiti mkuu Bakwata makao makuu, msikiti wa Mfalme Mohammed...