mufti

  1. mama D

    Wajukuu wa Ibrahimu katika picha, Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha na Sheikh Mkuu Mufti Abubakar Zubeir

    Upendo + Umoja + Mshikamano = Amani MWANZO 17: 1-22 "Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema, Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi. Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la...
  2. FaizaFoxy

    Rais Museveni na watu wa Uganda waungwe mkono, asema Mufti Mkuu wa Oman

  3. Sol de Mayo

    Mufti Al Khalil: Mapambano ya Rais wa Uganda dhidi ya ushoga

    Allah amjaalie Mufti huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi, Aamiin! Museven, Mwenyezi Mungu akubariki, hakika upo 💪🏽 huyumbishwi na wamagharibi. Moderator kwa hisani yenu, mmeshanifutia nyuzi zangu zaidi ya moja, nimeongea hamkunielewa, basi kwa leo nawaombeni muiache hii Waabheja sana bhabhaa
  4. Ex Spy

    Viongozi wa Tume ya Marekebisho ya BAKWATA wajiuzulu. Mufti Abubakar Zubeir adaiwa kuiendesha kama genge

    Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge. Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA...
  5. T

    Rais Samia: Nilipoingia ofisini tu Mufti alinijia na furushi la migogoro ya mali za BAKWATA, ila tatizo wamelitengeneza wenyewe

    Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waislamu. Akasema kwa bahati mbaya alipochunguza mafaili yale yana utata kwa kuwa wahusika wakubwa wa hizo sintofahamu ni wahusika wenyewe. Naomba kwa...
  6. ChoiceVariable

    Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
  7. Rwetembula Hassan Jumah

    Napata mashaka ya kwamba uisalam ulikuwepo kabla ya Mtume Mohammad japo mimi ni muislamu, Mufti nijuze

    Dini na siasa, tena serikali ya shetani na viongozi wa dini wamezama kwenye dimbwi. Halafu kuna hadith pamoja na aya wanatupiga nazo kuwa tuwatii viongozi wetu. Hapa kweli uislamu utarudi mgeni! Nchi ya Saudia inaongozwa na Sunni (Mtume alikuwa muislamu hakuwa na dhehebu, Iran waislam wengi...
  8. Rwetembula Hassan Jumah

    Waislamu wa Tanzania wanasubiri Mufti atangaze Mwezi hadithi inasemaje?

    Waislamu wa Tanzania mnaomfuata Mufti Eid yenu ni lini. Kesho ni Eid fitri Saudi Arabia, UAE announce Eid al-Fitr will start on Friday Amani Hamad, Al Arabiya English Published: 20 April ,2023: 05:26 PM GSTUpdated: 20 April ,2023: 07:53 PM GST The first day of Eid al-Fitr will begin on Friday...
  9. BARD AI

    Mufti Zubeir amteua Sheikh Ngeruka kuwa Naibu Kadhi Mkuu

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Abubakari Zubeir amemteua Sheikh Ally Ngeruka kuwa Naibu Kadhi Mkuu wa Tanzania na ustaadh Said Mwenda Anayekuwa Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Utawala na Fedha wa Bakwata. Taarifa iliyotolewa jana Jmatano Aprili 13, 2023 na Msemaji wa Mufti, Sheikh Khamis Mataka...
  10. Replica

    BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali wanawake wa kuolewa wapo

    Mufti wa Tanzania, Abubakar Zuberi ameshangazwa na watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kutokemewa lakini badala yake wanalindwa na kutafutiwa uhalali wa ndoa akiwataka Watanzania wote kulaani na kukataa ndoa za jinsia moja nchini. Mufti alitoa hadithi ya nabii Lut ambapo jamii yake...
  11. Roving Journalist

    Mufti wa Tanzania aivunja Kamati ya Mwezi na kuunda Mpya. Aiongezea nguvu

    BAKWATA inapenda kuufahamisha Jamii ya Waislam kuwa Mheshimiwa Mufti wa Tanzania ameivunja kamati ya Mwezi iliyokuwepo na kuunda kamati Mpya na kuoongezea nguvu.
  12. D

    Dodoma: Mapokezi ya Alhad Musa Salum yazua Taharuki, Waislam Wamwandikia barua Mufti

    Barua ya Wazi Assalaam Alaykum, Sheikh Mkuu, Mufti wetu wa Tanzania, nimeguswa kukuandikia barua hii ya wazi ama kwa kuhoji na kutaka ufafanuzi, ama kwa kushangazwa na nilichokiona. Kama nilivyoshangazwa, nimefuatilia kwa ndugu zetu wengi katika imani, ama kwa hakika, tukio ninalolileta kwako...
Back
Top Bottom