muharam 1446

  1. MSAGA SUMU

    Heri ya mwaka mpya wa kiislam (Muharam 1446)

    Kesho tukijiandaa kupokea mwaka mpya wa Muharam 1446. Nipende kuchukua nafasi hii kuwatakia wanaJF wenzangu mafanikio makubwa na baraka tele katika mwaka huu mpya. Ambao hawajapata wenza basi wapate, waliopigwa ban wafunguliwe. Na wenye bodaboda basi wafanikiwe kupata magari. Kila la kheri wakuu.
Back
Top Bottom