Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).
The National Institute for Medical Research (NIMR) is a Parastatal Organization established by the Act of Parliament No. 23 of 1979 and became operational in 1980.
The National Institute for Medical Research (NIMR) Muhimbili Medical Research Centre is looking for full time qualified Tanzanians...
Habari iwe nanyi!
Nashukuru wazalendo wa taifa hili walioleta kero za hospitali zetu hasa MNH-Mloganzila, kwa kweli kuona tatizo kubwa kama hilo na kulisema ndiyo uzalendo wenyewe. Kukaa kimya huku mambo yanaharibikia tena ya kupoteza wapendwa wetu ni sawa na uhaini.
Mheshimiwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, hizi ni Hospitali pacha zenye uzoefu wa uzembe zina matatizo haya matatu;
Madaktari Wazoefu kuhangaikia Hospitali za Mitaani kuliko mwajili wao
Kuwatumia Wanafunzi kujifunza bila Daktari mzoefu mbele ya mgonjwa
Madawa ’feki’ kwa wingi ndani ya Hospitali...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TUHUMA ZINAZOSAMBAA MITANDAONI KWAMBA WAGONJWA WENGI WANAPOTEZA MAISHA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI-MLOGANZILA.
Dar es Salaam. 06 Januari, 2020
Kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii Forum ambazo bila kuchanganua zinatuhumu kwamba...
Chimbuko lake ziara ya ghaa JPM, Yasuka upya wataalamu ughaibuni, Mapato yapaa bn 2.6/- hadi bilioni 5 .
MNAMO Novemba 9 ya mwaka 2015, akiwa mgeni madarakani, kwa mara ya kwanza Rais Dk. John Magufuli, alifanya ziara ya kushitukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kusikiliza kero...
Serikali imeendelea kutekeleza ahadi zake kwa wananchi katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya Afya ambayo imepewa kipaumbele ili kuwawezesha wananchi kupata huduma zilizobora kama vile upatikanaji wa dawa, vipimo ambavyo vilikuwa vinapatikana nje ya nchi.
Katika miaka Minne ya Serikali ya...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) nchini Tanzania itaanza kutoa huduma ya kupandikiza mimba kuanzia Januari mwaka 2020.
Hayo yameelezwa leo Jumanne Novemba 19, 2019 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Lawrence Museru wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya miaka minne ya MNH tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.