UN yatoa wito kwa Mamlaka za Tanzania kutoa taarifa za waliopotea na waliokufa Oktoba 29
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imesema kuna taarifa za vifo, majeruhi na watu kukamatwa katika kile kilichokea wakati wa uchaguzi, Oktoba 29 nchini Tanzania. Kamishna Mkuu Volker Turk ametoa...