Godfrey Mwambe aachiwa kwa dhamana. Anatuhumiwa kupanga njama za kutaka kumuua ‘Mkuu wa Polisi’
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo Jumatatu Desemba 15, 2025 imeyaondoa rasmi maombi Na. 289778/2025 yaliyokuwa yamefunguliwa na Waziri wa zamani Geoffrey Mwambe dhidi ya Mkuu wa...