Odero: Lissu kuwa gerezani hakuzuii maridhiano kufanyika. Mazungumzo yanaweza kumaliza changamoto tunazopitia CHADEMA
Kada wa CHADEMA, Charles Odero, amesema ni muhimu kwa vyama vya siasa na Serikali kukaa meza moja ya mazungumzo ili kuimarisha mshikamano wa kisiasa na kusukuma mbele maendeleo...