OCD Chunya: Vituo vya Mafuta msiwauzie bodaboda na bajaji zaidi ya lita 2 za petroli
Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Chunya, OCD Nestory John, ametoa agizo kwa vituo vya mafuta kutowauzia madereva wa bodaboda na bajaji zaidi ya lita mbili za petroli kwa siku kuelekea Disemba 9, akidai wengi wao...