Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za vituo vya Lake Oil. Wenye ushahidi wapeleke
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Ridhiwani Kikwete amesema yuko tayari kuhojiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kufuatia tuhuma zinazoelekezwa kwake...