Mwigulu: Rais Samia ameagiza Polisi waache kumtafuta Askofu Gwajima
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amesema Rais Samia amelielekeza Jeshi la Polisi kusitisha kumtafuta Askofu Josephat Gwajima kama lilivyotangaza awali, ili aendelee na shughuli zake na kutoa fursa ya kujenga umoja wa...