Mimi ni miongoni mwa watu naopinga sana madalali kutaka kulipwa kodi ya mwezi mmoja kwani ni kuumiza wapangaji kwa kuwaongezea gharama za maisha. Kibaya zaidi, wako wenye nyumba hawapangishi mtu bila kupitia madalali wao hata kama inawezekana kupanga bila kupitia hao madalali.
Hivyo...
Katika Sheria ya leseni sura 208 ya 1972 na marekebisho yake (Act Supplement Number 6 of 2014, Ibara ya 7) imewatambua wafanyabiashara wadogo na kuweka viwango vya leseni vya elfu 20.
Hivyo vitambulisho vya machinga ni lesseni halali kwa mujibu wa Sheria, na wala sio hisani ya mtu hivyo...
Habari za muda huu wakuu,
Samahani kuna selection hizi za jeshi za wanafunzi waliomaliza form six zimetoka na nimechaguliwa kujiunga na jeshi ila nimebakia njia panda.
Nilikuwa nauliza kwani kuna umuhimu gani wa kujiunga na jeshi? Au kuna faida gani ya kujiunga na jeshi JKT na je nisipojiunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.