MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE
YA MUMBAI-DAR ES SALAAM
04 Novemba 2024, Dar es Salaam
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai kwenda Dar es Salaam imebadilishwa kutokana na hitilafu ya kiufundi.
Kwa kuzingatia kipaumbele chetu cha...
Pascal Mayala(CCM) alipopata uwakili nilimuuliza kama atakuwa wakili wa wanaccm tu na mwanachadema ambaye siku zote ana hasira naye ataweza kumtetea? Swali langu lilitokana na dunia kuwa duara, tenda ulitendalo lakini kuna siku utakwama na kuwarudia unaowachukia.
Pasikali asiyewapenda...
India imeripoti kushuka kwa maambukizi ya virusi vya corona katika miji yake mikubwa miwili ya Delhi na Mumbai, inayokaliwa na zaidi ya theluthi mbili ya wakazi bilioni 1.4 wa taifa hilo.
Maambukizi mapya 326,098 yameripotiwa ndani ya saa 24 zilizopita, pamoja na vifo 3,890, ingawa wataalamu wa...
Kwa masikitiko makubwa naangalia jinsi wasafirishaji wa Madawa ya kulevya wameona kuwa huu ni muda muafaka kuanza biashara yao haramu.
Baada ya lile tukio la kukamatwa kwa kiwango kikubwa zaidi ya tano moja kule lindi ambapo ukisoma muendelezo wake kwenye magazeti utaona hati ya mashtaka...
Takriban watu 10 wamepoteza maisha baada ya jengo la makazi ya watu lenye ghorofa tatu kuporomoka mapema leo asubuhi katika eneo la Bhiwandi lililopo katika viunga vya jiji la Mumbai, India.
Zaidi ya watu 25 wanahofiwa kukwama chini ya vifusi vya jengo hilo, kwa mujibu wa Kitengo cha Taifa cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.