Kwa mtizamo wangu najiona kama Nahitaji kuwa mume wa mtu 😎
Lakini nikiangalia upande wa misimamo ya kama Baba wa familia najiona sina .Ati nifanyaje ili nioe ?
MWANANGU USITEMBEE NA MUME WA MTU ..
Binti mmoja alikua anatembea na mume wa mtu, alikua akifanya kwa siri lakini Mama yake alijua, baada ya kuona vile Mama yake alimkalisha chini na kumuuliza kwanini anafanya vile? Binti hakua na jibu la maana lakini alimuambia Mama yake yeye anamheshimu mke...
Kaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna namna naweza kumuacha, nilikua naye kabla ya ndoa na niliolewa tu kwakua nyumbani walikua wananipigia...
Hebu tupeni ushuhuda wale ambao mlioa mwanamke ambae alikuwa na ndoa yake akaachana na mumewe kwa ajili yako, je, unaishije nae? Mko happy au jinamizi la ndoa ya Kwanza linawatesa?
Pia wanawake na nyie kama ukiolewa na mwanaume aliyemuacha mkewe kwa ajili yako hapo mjengoni unapumua vizuri...
"Sikiliza nikuambie wewe dataz mume wa mtu ni hatariiii...🎶"
https://youtu.be/EPQiEXLzYY4?si=B60DDmFLAMapuPFh
Siku hizi mna visabengo kwenye muziki sasa mnakaa kuhamasishwa alafu yakiwakuta ya kuwakuta mnatia huruma mitandaoni 😂
"oooh sijui leo ndio ujue mimi ni mke mwenzako hata kama hautaki...
Mhadhara - 46:
Upo msemo ambao unasema; "Ukila na kipofu usimshike mkono", lakini pia "Usimnyapie kuku kwenye majani makavu".
Kama umebahatika kujipenyeza kwenye ndoa ya mtu au mahusiano ya mtu kwasababu ya faida zako basi punguza mbwembwe, la sivyo utakatwa mapanga mchana kweupeee au utupiwe...
Hey
Weekend kwangu ipo poa sana. Natumaini hata yako imetulia, kinyume na hapo jipe moyo, siku hazifanani na pia hazigandi...
Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume aliye kwenye ndoa. Ninaongea kwa experience yangu na kwa experience ya kuangalia mahusiano ya...
Mume wa mtu miaka 5 hataki kunioa nimapata MWANAUME mwinagine naye ni mume wa mtu!
Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 5 na tuna mtoto mmoja. Ni mwanaume ambaye ananihudumia kwa kila kitu, ananijali na sijawahi kukutana na mke wake, hata sijui kama ananifahamu kwani huyu mwanaume ana...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Usidanganywe na porojo zisizo na kichwa Wala miguu kuhusu kile kinachoitwa Haki za binadamu, sijui Serikali, sijui Sheria Kali, sijui uwèpo wa Mungu. Usije ukadanganywa.
Hivyo vyote nilivyovitaja hazitazungatiwa endapo utamfanyia Mtu Baadhi ya Makosa.
Huwezi...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande.
Kwa akili ya...
Niwape story,niliwahi date na mume wa mtu ,tukaachana kwasababu tu ya kushift mkoa lakini tukawa tunaendelea na mawasiliano japo kwa mwezi tunaweza kuwasiliana Mara chache,uyu kipindi tunadate aliwahi omba picha za uchi,lakini sikuwahi mtumia!!!! Sasa si mnajua kuna kumisiana Leo kaomba tena...
Safari hii nataka ni date na mume wa mtu for benefit,yaani anifungulie biashara,nilisha date na mume wa mtu alikua ananizagamua tu na kunipa chips kuku na viela vidogo!! Vidogo!! Sasa tulishaachana sababu ya kuachana nili shift mkoa otherwise tungekua tuna date hadi Leo.
Sasa kuna mume wa MTU...
Ukitaka kula pesa ya mwa afrika basi uijiingize ktk huduma za kiroho na ukitaka kujua roho chafu za watu basi mnunulie pombe mganga alewe alafu akuambie mambo anayoletewa kuyafanyia kazi.
Ni mapicha unayaona tu mara mbuzi ameuliwa na amechorwa maumbo na alama tofauti.
Alafu chini ya posts zao...
Shalom,
Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa...
kiujumla wizi wa aina yoyote ile ni mbaya sana.
na siku zote wizi hauna mipaka, mwizi huiba kila kitu anachokiona kinamfaa mbele yake kwa muda mfupi na haraka sana, haina kuremba.
kuiba mke au mume wa wenyewe, ni wizi mgumu, mbaya na hatari sana kwa afya na uhai wako.
Pasaka hii tulizana, baki...
Hebu sema ukweli wako?
Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na urafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanae kwenye mahusiano ya kimapenzi?
#nyumayapazia
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Swiga John Mwakalobo (35) ambaye ni Mfanyabiashara wa mgahawa pamoja na Mwanaume ambaye amefahamika kwa jina la Jacob Chang’a wote Wakazi wa Kata ya Mkwawa Wilaya na Mkoa wa Iringa wamekutwa wamefariki ndani katika mgahawa huku wakiwa watupu (bila nguo)...
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli, alitakalo likitimia hana muda na wewe.
Usilogwe kumpenda mume wa mtu, mwisho wa siku atakuacha peke yako. Bora kupambana na hawa papatu papatu.
Nimetoka tu nje ya geti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi, kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi kwa fulani, gari kali nyie, ananukia.
Eti dada samahani, eti kwa fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize, anakataa. Nikamwambia haya siku njema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.