Karma is bitch.
Mapenzi ni upofu ila mwisho wa siku unaweza kuona bila kutarajia, wakati unataka muwe familia mmoja yeye anaweza mengine. Nilimpenda sana huyu binti mpaka maisha yangu yamepunguzwa kwake baada ya akiba yangu kumpa ili tu tuwe wote.
Mwanaume nikaona mke ndio huyu nika jitosa...
UKIZAA NA MUME WA MTU, JUKUMU LA KULEA MTOTO NI LAKO MWENYEWE!
Anaandika, Robert Heriel
Unajizima Data sio!
Ati ooh! Alinidanganya Hana MKE, ooh! Sikujua kama kaoa. Wanaume ni Umbwa Koko!
Kama alikuambia Hana MKE si ungemuambia Ukoe wewe sasa ili uwe Mke wake. Mwambie apeleke posa nyumbani...
Wakuuu.
Dada yangu (mtoto wa mama yangu mdogo) alipewa ujauzito na mwanaume ambaye ameshaoa na wamezaa na huyo mke wake. Dada yangu alikuwa anajua kwamba huyo mwanaume ni mume wa mtu na alishawahi kuambiwa na huyo mwanaume, "kama unavyojua mimi ni mme wa mtu, kwahiyo we niambie vyote ila usije...
Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka Mungu asahaulike!?
Ndoa yangu ina miaka 12 mimi na mume wangu hatuna shida, kabla ya mume wangu kuna mwanaume nilikua naye, alikua ni mume wa mtu, nilibeba mimba yake nilipomuambia akaikataa,
Kwakuwa kupindi hicho ndiyo nilikua nimeanza mahusiano na mume wangu nilibambikizia mimba na akanioa. Baada ya kuolewa...
Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.
Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua...
Mkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Ikungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa wanazini na mume wa mtu kwenye pagale la nyumba.
Tukio hilo ambalo linadaiwa kughubwikwa na usiri tangu lilipotokea mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu...
Jamaa alikuwa na tabia akitoka kazini jioni anapitia bar anaopoa malaya anakula mzigo upesi anarudi nyumbani. Kutokana na kuwahi kwake nyumbani mke akajenga imani nae.
Siku ya tukio, jamaa kama kawaida katoka kazini kapitia bar kakuta kuna malaya mpya, hakumkawiza akapeleka LUGHA, haooo kwenye...
Mwaka fulani huko nyuma, kama matani hivi kuna mwanaume mmoja alianza kunitongoza lakini nikawa namkatalia kwa sababu mbili
1,Alikuwa na mke na familia yake
2,Alinizidi umri kwa mbali mnoo kama 25 hivi
Kwa kuwa wanaume hawachoki alinishawishi kwa zawadi mbalimbali mpaka nikajikuta namkubali na...
Dada yangu kipindi utakapokubali kutoka kimapenzi na mume wa mtu, utakuwa umekubaliana kuwa mwanamke wa daraja la pili. Na siku zote mtu wa daraja la pili ni mtu wa daraja la chini ukilinganisha na daraja la kwanza.
Angalia sasa, kama yupo na wewe na mke wake akapiga simu atamdanganya mkewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.