mume wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Alimwambia mume wake aoe yeye yuko busy.

    Moja kwa moja kwenye mada. Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo kwa sasa kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya Pangani alimwambia Mme wake aoe mke mwingine sababu yeye yuko busy na majukumu watu walimsifia sana na kumuona ni mwanamke anaejali. Cha ajabu jana bungeni katambulishwa kama mke wa Waziri wa maji...
  2. Dada aliyemuua jambazi katika harakati za kumuokoa mume wake: Sheria imekaaje? Je, ana kesi yoyote ya kujibu?

    Sheria zetu zinasemaje juu ya hili? ====== MWANAMKE ALIYEPIGANA NA JAMBAZI MWENYE BASTOLA NA KUFANIKIWA KUMUUA Mke wa Mfanyabishara Castola Mnoge, Juliana Damiani, mkazi wa Kasulu mkoani Kigoma, amesimulia jinsi alivyopata ujasiri wa kumpiga na gongo jambazi na baadaye kushika jiwe kupambana...
  3. Hasira ya kumfumania mume wake na rafiki yake wa karibu mke aamua kuchoma pesa

  4. Mwanamke asiyejaliwa na Mume wake ni sawa na Nchi isiyotawalika

    Assalamu Alyekum! Mwezi February ulikuwa mwezi wa wapendanao. Nikasema mwezi huo nitautumia kukutana na Mabazazi, washenzi, maharamia, wateka Manuwari na nyambizi, Pia nikakutana na wakata umeme, mabuzi, wazama uvinza, wanaapolo, wabambikaji, wanakemia na Aina zote za watu wapendao ngono...
  5. Unapomtaarifu mwanamke kuwa mume wake ana mahusiano pembeni unamuharibu kisaikolojia

    Kuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari, shopping ya nguo za kazini akifanyiwa. Kwakua alikua mzuri alipendeza sana. Sasa kuna mazee mafisi...
  6. Ya Metacha na mke anaemfanyia jeuri mume wake wa ndoa

    Ukiona mke wako anakufanyia jeuri /kiburi Wala usifikiri anazuzuliwa na MTU maana... Kanakuwaga kajinga jinga Fulani hivi kasiko Na mbele Wala nyuma. Ukitaka ku prove ninacho kwambia, wewe ukiona analeta jeuri muache aende zake tafuta mwanamke mwingine Kazi iendelee. Metacha Kwa jeuri Na...
  7. A

    Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

    Kuna watu wanaishi maisha magumu duniani.
  8. Nimenyong'onyea baada ya kusikia mume wake alifariki

    True story. Hapa mjini kwetu bana Nina bahati ya kutembea na wadada wauza migahawa na CHAKULA. Nadhani sijui ipoje hii, Kuna aina fulani ya Wanawake ukiwa na upepo nao basi ukimtongoza hatoki (Nikija daslama nitamjaribu shilole) Basi bwana Huku na huku, huku na huku, nikafahamiana na mdada...
  9. Mke wa Bill Gate alikodi Mpelelezi wa siri kuchunguza mienendo ya mume wake

    Baada ya mume wake kuwa anatoweka ofisini muda wa kazi, Melinda alitaka kujua huwa ana kwenda wapi. Alikodi Private Investigator. Report ya PI huyo imefahamika kuwa jamaa alikua anakutana na totoz mchana, ndiyo msingi mkubwa wa talaka. Hii Porches ya rangi ya dhahabu ndiyo aliitumia Mzee...
  10. Mwanamke aongea na simu ya Wanaume mbele ya mume wake

    Wakuuuu poleni na mfungo ndugu zangu na kazi iendelee. Ndugu zangu nimekuja kikaz Dar es Salaam ntakuwa kwa muda wa mwaka mmoja nimepata nyumba ya kupanga hapa sinza madukani . Nimepanga na jirani yangu akiwa na mkewe chombo sana lakini bado hawajapata mtoto. Mkewe jioni hupenda kujifunga...
  11. Kwanini mume wa Rais Samia Suluhu hajaambatana na mkewe ziarani Kenya?

    Mara nyingi viongozi wafanyapo state visits wanakuwa na wenza wao wa ndoa. Ziara ya Rais Samia ya siku 2 nchini Kenya imeonesha picha ya couples wakati wa state banquet, lakini kwa upande wa Tanzania pamepwaya. Je, kuna tatizo? Endapo mume wa Rais Samia angeonekana, wakati Marais wanaongelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…