Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wahenga walipata kunena.
Mwanamama Evelyn Miller mwenye miaka 31, Mkazi wa nchini Austarilia amestaajabisha kwa kusema wazi kwamba amejaaliwa nyuchi mbili, zote zikifanya kazi kwa usahihi kabisa.
Mlimbwende huyo mwenye mume na watoto wawili ni mchezaji...
Wanangu hawakuwa boarding school.
Baba yao mdogo na dada wa kazi ndio waliowafundisha ku SEX. Tuwaombeeni sana watoto wetu, Najuta kuwatoa muhanga watoto wangu kwa ajili ya kazi yangu. Niliolewa nikiwa na miaka 24. Mimi na mume wangu wote tulikuwa madaktari. Wote tulizingatia sana kazi na...
Yaani tangu alipoondoka saa 12 asubuhi kufuata zawadi yake ndio anaingia ndani muda huu, kalewa pomoni, anasema huko waliitiwa kula na kunywa.
Lakini jirani yetu hapa naye alishinda hizo tuzo, naona karudi na mazaga kibao, na pilau naisikia ikinukia.
Kweli mambo ya JF ni makubwa mno, hata tu...
Wakati tunaelekea Siku ya Wanawake Duniani, Witness Mbangala (45) ni miongoni mwa wanawake waliopitia changamoto katika familia, lakini bado wakasimama imara kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa.
“Safari ya maisha yangu imepitia changamoto nyingi, baadhi ya watu walinishauri niolewe na...
Kitabu Cha
Waefeso 5:31 BHN
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”
Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko .
Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto.
Ila...
Salaam wapendwa.
Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.
Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu...
Habari wakuu, nahitaji ushauri,
Mimi ni binti nimeolewa naishi na familia, mume wangu pamoja na mdogo wangu wa kike. Tatizo ni kwamba mume wangu amekuwa na kisirani sana juu ya huyu mdogo wangu wa kike. Kila anachofanya lazima mwanaume alalamike.
Na wala sijawahi kuwa na mawazo labda...
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda...
TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE.
Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie.
"Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama...
Ndoa yangu ina miaka 12 mimi na mume wangu hatuna shida, kabla ya mume wangu kuna mwanaume nilikua naye, alikua ni mume wa mtu, nilibeba mimba yake nilipomuambia akaikataa,
Kwakuwa kupindi hicho ndiyo nilikua nimeanza mahusiano na mume wangu nilibambikizia mimba na akanioa. Baada ya kuolewa...
Yaaani zamani hakuwa hivyo alikuwa anakunywa kistaarabu ila sasa amekuwa mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile.
Msaada nipate dawa au mawazo nijue cha kufanya maana ndoa imekuwa ngumu.
Katika muendelezo wa kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Shahidi wa nane wa Jamhuri dhidi ya Sabaya ameieleza mahakama kuwa hakumshuhudia mumewe akipigwa kama alivyoeleza. Pia, ameeleza bayana kuwa simu zake...
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? Jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".
Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana...
Nataka nifanye maamuzi magumu ya kuachana na huyu Mwanaume, nahofia kitu kimoja
1) Ukweni kwangu pamoja na mume wangu hawana dini yaani ni waganga sana. Je watanibakiza?
2) Nilitolewa mahari mil 1.6 bi mkubwa ameshakula na taratibu za kisukuma ukiolewa kama haujazaa mahari inarudi na faini...
Siku zote nimekua nikilalamika humu mme/mwenzangu kutohudumia nyumbani na kuhamishia nguvu kwao ila nilichokiona mpaka nimemuonea huruma.
Iko hivi mimi na mwenzangu tulikua tunaishi pamoja tangu mwaka Jana mwaka huu wazazi wakaamua wakamilishe taratibu zote ikabaki ndoa tu sasa katika maisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.