mume

Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.

View More On Wikipedia.org
  1. Melubo Letema

    Mume na Mke Washinda Mbio za JKT Half Marathon 2023

    Wanariadha Faraja Lazaro Damas na Magdalena Shauri ambao ni Mume na mke na ni waajiriwa wa (JWTZ) wameshinda mbio za JKT Half Marathon 2023, Zilizofanyika tarehe 25 Juni 2023, jijini Dodoma. Faraja na Magdalena walishinda mbio hizo za kilomita 21.1 (21K) kwa muda wa (1:03:45) na (1:11:22 ) na...
  2. Mwachiluwi

    Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

    Helloww Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
  3. Majumba saba

    Natafuta mume

    Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu Sifa zangu: 1. Ni mrefu kiasi wa cm 170 2. Nina rangi ya maji ya kunde 3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo 4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters) 5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa...
  4. Replica

    Mchezo wa Sheria: Apoteza haki ya mgawanyo wa mali baada ya mume kudai hajawahi kumuoa Salma Mohammed, mke alibadili jina baada ya kuolewa

    Dar es Salaam. Hivi mwanamke aliyebadili jina la baba yake na kutumia la mumewe baada ya kuolewa anajua kama anaweza kupoteza haki ya kumiliki mali walizochuma katika ndoa? Hiki ndicho kilichompata Salma Mohamed Ibrahim. Kwa mujibu wa hukumu iliyotolewa juzi na Jaji John Nkwabi wa Mahakama Kuu...
  5. M

    Katika Ukristo Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake?

    Naomba kuuliza kwa wakristo, Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake au baada ya kuachwa? Maana kwa waisilamu pindi mume akifa mwanamke hukaa miezi 4 na siku 10, na taraka hukaa mpaka aingie mwezini mara tatu.
  6. Clepatina

    Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

    Ndugu zangu, Ijumaa iliyopita mume wangu mtarajiwa alileta watoto wake (wetu) walale kwangu ili Jumamosi nikawafanyie shopping ya mavazi. Jumamosi nikawawafanyia watoto wetu shopping hadi hela yote alonipa baba yao ikaaisha na baada ya kuridhika kuwa watoto wamepata nguo za kutosha nikaona sio...
  7. Moronight walker

    FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

    Mke wa doctor amemfumania mume wake kituo cha kazi (cha afya), akiwa na mchepuko, Huku mchepuko akilala utupu kitanda cha mgonjwa kama mgojwa. Ili achepuke na doctor.
  8. Moronight walker

    Tunamshauri arudiane na mkewe: Waliachana baada ya mume kuzaa nje ya ndoa

    Ilikuwa miaka 5 iliyopita kaka yangu upande wa Baba mkubwa. Yeye alikuwa na ndoa yake kabisa na alikuwa na watoto 2 wa kiume na wa kike. Kaka yangu yule ni mtu wa ubabe ubabe. Sasa miaka 5 iliyopita bro wangu alikuwa na mchepuko, sasa katika kuchepuka nae, yule dada alibeba ujauzito wake. Bro...
  9. J

    Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine. Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu...
  10. Nshuti divine muheto

    Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Miaka kadhaa iliyopita mume wangu alimtambulisha mtoto wa nje katika familia yake ni wa kiume alikuwa ni mtu wa furaha sana na kujisifu kuwa kapata mtoto wa kiume na ndugu zake walimpongeza hasa mtoto alifanana nae. Japo mimi nilibaki na maumivu, kwani nimezaa nae watoto wawili wa kike tuu...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    SoC03 Mapendekezo ya sheria mpya ya ndoa: Atakayempa mimba mwanamke ahesabiwe kama mume halali wa ndoa

    Habari! Kuna vitu lazima kupitisha msumeno katikati , maumivu yatokee ndipo yaje matokeo change. Ili kuondoa tatizo la watoto wanaokosa malezi ya wazazi wetu ni wakati sasa kuweka msumari (sheria) katika hili. Kama serikali iliweza kuhesabu watu wawili kuwa ni wanandoa ikiwa tu wameishi...
  12. J

    Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

    Habari, Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana. Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu...
  13. S

    Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri. Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3. Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa...
  14. S

    Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

    Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati. Wabunge mko bungeni kwa ajili ya...
  15. Jemima Mrembo

    Kisa cha mume wangu na dili la mbwa

    Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here. Kabla sijaolewa nilijiwekea nadhari kwamba nataka ñiolewe na Bwana mwenye akili, hata kama hana hela au wengine...
  16. 5

    Kisa kilichombadilisha mume tabia.

    🗯️
  17. KusiniKuchele

    Natafuta Mume

    Habari wana JF? Natafuta mume awe na sifa: -Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki) -Umri 35-45 -Amejiajiri/Kuajiriwa -Elimu angalau degree moja na kuendelea -Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia Kuhusu mimi -Umri 31years, -Kabila Mwiraqw(Manyara) -Nina degree moja...
  18. Okrap

    Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

    Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli, alitakalo likitimia hana muda na wewe. Usilogwe kumpenda mume wa mtu, mwisho wa siku atakuacha peke yako. Bora kupambana na hawa papatu papatu.
  19. Kamulimuli

    Unaweza kuolewa/kuoa tena Na Mume/Mke wako kwenye Maisha Mengine.

    Kwa walioko kwenye ndoa na walio wahi kuwa kwenye Ndoa..Ikitokea Muda ukarudi nyuma..au kukawa na Maisha mengine baada ya haya.Je utakubali kuolewa/kumuoa tena huyo mwenzi wako?
  20. Engager

    Mume wake ni mtu wa kusafiri

    Nimekaa nikatafakari. Sisi wanaume ambao harakati zetu za kupata mkate wa kila siku zinahusisha kusafiri safiri, tunachapiwa sana wake zetu. Nimesoma nyuzi nyingi sana hapa JF vijana wakieleza ilikuwaje wakatembea na mke wa mtu, hichi kipengele cha 'mumewe ni mtu wa kusafiri sana' kimetajwa...
Back
Top Bottom