Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu...