mume

Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.

View More On Wikipedia.org
  1. The Transporter

    Mume agundua mkewe anameza ARV ila yeye anafichwa

    Ipo hivi nina rafiki yako ambae shughuli zake ni dereva sasa amenipa mkasa wake na kuomba ushauri. Jamaa mwanzo mwa miaka ya 2000s alimpata Binti wakakubaliana na kuamua kuishi pamoja wakabahatika wakapata watoto watatu wakiume wawili wa kike mmoja. Ila kutokana na sababu kadhaaa wakawa...
  2. Nyendo

    Mume wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Nigeria (Osinachi Nwachukwu) akamatwa

    Polisi wamemkamata mume wa mwimbaji nyota wa nyimbo za Injili nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu, baada ya kufariki siku ya Ijumaa Aprili 8, 2022 katika hospitali ya Abuja. Ripoti za awali zilisema kuwa msanii huyo mwenye umri wa miaka 42 alikuwa akiugua saratani ya koo, lakini familia yake...
  3. JanguKamaJangu

    Mume wa mwalimu aliyefariki katika shambulizi lililoua watoto 19 shuleni naye afariki

    Mume wa Irma Garcia, mwalimu ambaye ni mmoja wa walioualiwa katika shambulizi lililotokea shuleni na kuua pia Watoto 19, amefariki kwa shambulizi la moyo. Memba mmoja wa familia amesema kuwa Joe Garcia aliumizwa sana na kifo cha mkewe, akawa ni mtu mwenye majonzi na hiyo inasadikika imechangia...
  4. Komeo Lachuma

    Leo nimetaka kumtandika Dada yangu vibao mbele ya mume wake. Wanawake wa siku hizi sijui wakoje!

    Sister ameanza ubinafsi wa kipuuzi. Nmewasikia toka wakiwa room kwao kuna mgogoro. Shem anaomba game. Sister analeta usister duu kuwa eti kachoka. Shem kabembeleza sana kuwa ana hamu na yeye ndo mkewe. Sister kaona kero kaamua kwenda sebuleni kucheck movies. Nimemfuata sister na kumuuliza kwa...
  5. L

    Alimwambia mume wake aoe yeye yuko busy.

    Moja kwa moja kwenye mada. Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo kwa sasa kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya Pangani alimwambia Mme wake aoe mke mwingine sababu yeye yuko busy na majukumu watu walimsifia sana na kumuona ni mwanamke anaejali. Cha ajabu jana bungeni katambulishwa kama mke wa Waziri wa maji...
  6. Linguistic

    Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India.

    Wajubaa . Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India. . Wakuu, Baada ya Kusililizwa Kwa shauri lililolenga ktaka kwamba iwe Kosa la ubaki ni pale Mme anapomlamzimisha mkewe KUFanya tendo la Ndoa. . Hatimaye Justice Rajiv Shakdher Wa Mahakama Kuu ya Delhi amefuta kifungu...
  7. Donnie Charlie

    Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

    Mwalimu wa shule ya Sekondari Jijini Mbeya, Julieth Kabuja (32) ameieleza Mahakama ya mwanzo Mkoani hapo kuwa ni bora ndoa yake ivunjike kuliko kumkabidhi mumewe kadi yake ya benki. Ameyazungumza hayo mbele ya Mahakama ya mwanzo jijini hapo baada ya mumewe Charles Meshack (31) kufungua shauri...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna Mwanamke anayekosa mume wa kumuoa, Ila wapo wanaume wanaokosa wake wa kuwaoa!

    HAKUNA MWANAMKE ANAYEKOSA MUME WA KUOLEWA NAYE. Anaandika, Robert Heriel Kuna uvumi unaoendelea katika jamii zetu za kiafrika kuwa mwanamke akifika umri Fulani anakuwa katika Mazingira magumu ya kuolewa Jambo ambalo sio kweli. Mwanamke anaweza kuolewa katika umri wowote hata akiwa kabibi, Ila...
  9. Ednatha

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Habari! Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo, nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo, 1. Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50. 2. Awe mkristo 3. Asiwe na ndoa 4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato Mengine tutajuzana PM, karibu.
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake washaurini(kuwasaidia) binti zenu kutafuta mume kuanzia wakiwa miaka 17-25

    Ramadhan Kareem! Dada zangu, wadogo zangu wakike, pamoja na kina Mama, elimu hii ni muhimu Sana. Dunia ya sasa imefikia pagumu Sana, hasa kwenye kipengele cha ndoa. Kuweni karibu na binti zenu, wafanyeni marafiki, wafanyeni wawaamini, hakikisha Kama mzazi unamaarifa ya kutosha kumshauri binti...
  11. Equation x

    Ni muda gani, ambao ni sahihi, kwa mfiwa kuoa/kuolewa na mtu mwingine?

    Aliyefiwa na mke au mume; ni baada ya muda gani ndio anaruhusiwa kuoa/kuolewa? Maisha ya ndoa huwa ni matamu sana, hasa kwa wale wachache waliobahatisha kupata mtu sahihi. Inafikia kipindi, wanakuwa na mfanano fulani; unaweza kuwa wa sura, kuongea, au tabia. Inapotokea mmoja wapo anafariki...
  12. BigTall

    Mjadala wa Sheria Mtaani: Kufanya kazi za ndani nyumbani ni jukumu la mume siyo mke

    Hivi karibuni kulikuwa na picha zenye maneno kadhaa zilikuwa zikisambaa mitandaoni zikielezea kuhusu masuala mbalimbali ya sheria. Kuna moja hii nikaiona ikisambaa kwa kasi ikiwa na kichwa cha habari: Kwa Mujibu wa Sheria ya Ndoa Tanzania KUFANYA KAZI ZA NDANI NYUMBANI NI JUKUMU LA MWANAUME...
  13. JanguKamaJangu

    Katavi: Mke amkata Mume kwa panga kisha ajiua

    Mwanamke mkazi wa Kijiji cha Sibwesa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Wande Emmanuel (30), amemjeruhi mumewe, Dotto Enosi (35) kwa kumkata na panga kichwani kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kitenge. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame Hamad, alisema tukio hilo lilitokea...
  14. H

    Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

    Habari wanajf wenzangu Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu. Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio...
  15. Sky Eclat

    Hasira ya kumfumania mume wake na rafiki yake wa karibu mke aamua kuchoma pesa

  16. Jokajeusi

    Kukupa laki moja ndio umuite mume wako mwanaume suruali?

    Igwee! Ni pisi Kali sikatai. Mtoto mweupe pee! Mtoto kanyooka vibaya mno. Kiuno Dondora. Yakamshinda nikatema sumu ya king cobra, mtoto chaliii miguu juu macho rebwerebwe. Tukapanga siku yakukutana ili nimnyandue, siku ikafikia. Toto likasema halina nauli, nikamuagizia Bolt, mtoto akaletwa...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanamke asiyejaliwa na Mume wake ni sawa na Nchi isiyotawalika

    Assalamu Alyekum! Mwezi February ulikuwa mwezi wa wapendanao. Nikasema mwezi huo nitautumia kukutana na Mabazazi, washenzi, maharamia, wateka Manuwari na nyambizi, Pia nikakutana na wakata umeme, mabuzi, wazama uvinza, wanaapolo, wabambikaji, wanakemia na Aina zote za watu wapendao ngono...
  18. LIKUD

    Unatuma Pesa ya nauli Kwa mwanamke, kumbe ni mke wa mtu, mara baada ya kutuma nauli mume wa mwanamke huyo anakutumia ujumbe huu na video hii

    Asante Sana kaka Kwa kumtumia mke wangu nauli. Na mimi nimekatamo ka Hela ka pombe .
  19. Frustration

    Mwana JamiiForums mwenzangu, msamehe mke wako japo ni kweli alichepuka kwa mume wa shosti yake

    Habari viongozi, na watu wote. Naomba kwanza ku-declare my side ni kwamba siwezi kumwacha mke wangu niliezaana nae hata mtoto mmoja tu kisa amechepuka. Kuna ndugu yetu humu ndani amemfukuza jana mke wake huko Dar baada ya mke wa mume aliyechepuka na mke wake kuja na kundi la watu wakiwa na...
  20. John Haramba

    Marekani: Mwanamke amuua mume kwa kumchoma kisu zaidi ya mara 140

    Mwanamke mmoja anayeitwa Joan Burke mwenye umri wa miaka 61, kutoka Jimbo la Florida nchini Marekani ameshtakiwa kwa mauaji kufuatia tuhuma za kumchoma na kisu mume wake kwa zaidi ya mara 140 na kupelekea kifo chake. Taarifa ya Polisi kutoka Kituo Palm Springs imeeleza walipokea simu Februari...
Back
Top Bottom