Habari kaka zangu na dada zangu katika jukwaa hili,
Nahtaji ushauri, nimekuwa na mpenzi wangu ambaye mara nyingi anakuwa muongo sana hataki kuweka mambo yake wazi, japo sio sana. Sasa hili ndio babu kubwa, kuna siku amepata safari walisafiri na dada yake. Siku hiyo alioamba nauli tulikwazana...