museveni

Yoweri Kaguta Museveni (pronunciation ; born 15 September 1944) is a Ugandan politician who has been President of Uganda since 1986. Museveni was involved in rebellions that toppled notorious Ugandan leaders Idi Amin (1971–79) and Milton Obote (1980–85) before capturing power in the 80s. In the mid to late 1990s, Museveni was celebrated by the West as part of a new generation of African leaders. During Museveni's presidency, Uganda has experienced relative peace and significant success in battling HIV/AIDS. At the same time, Uganda remains a country suffering from high levels of corruption, unemployment and poverty. Museveni's presidency has been marred by involvement in the civil war in the Democratic Republic of the Congo and other Great Lakes region conflicts; the rebellion in Northern Uganda by the Lord's Resistance Army which caused a humanitarian emergency; and the suppression of political opposition and constitutional amendments scrapping presidential term limits (2005) and the presidential age limit (2017), thus enabling the extension of his rule.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtoto wa Rais Museveni atangaza kustaafu utumishi wa Jeshi mwaka huu

    Mtoto mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa atastaafu kutoka jeshi mwaka huu, baada ya karibu miongo mitatu ya kuhudumu ndani ya Jeshi. Muhoozi Kainerugaba, jenerali wa jeshi, alitoa tangazo hilo katika chapisho la Twitter. "Nitastaafu UPDF mwaka huu," alitweet. Alitoa tangazo...
  2. An open letter to President Yoweri Kaguta Museveni

    1. PREAMBLE Dear Yoweri Kaguta Museveni, The President of the United Republic of Uganda: On 28 February 2023, one Reverend Fr. Charles Onen, a former Catholic Priest, and who is a member of parliament of Gulu East, prepared the motion seeking leave of parliament to introduce a private...
  3. Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

    Mambo ya watu wawili chumbani wewe yanakuhusu nini? Kwanini Mashoga waonekane ni wabaya harafu wanaowala hao Mashoga probably mtoa mada muonekane wajanja?
  4. Museveni asema Waganda ni wazembe wa kutupwa

    Asema anaongoza watu wazembe sana, wana mvua ya kutosha hivyo hauhitaji kujituma Uganda ili upate msosi, wengi wapo wapo tu siku ziende...... Japo binafsi nimefanya kazi na Waganda, huwa wanajituma ila kuna kaukweli kuhusu hilo la mvua, mataifa ya Kiafrika yasiyokua na majanga ya ukame yanaishi...
  5. Rais Museveni asema Wananchi wake ni wavivu sana, hata mtu mjinga anaweza kuishi Uganda

    Akizungumza mbele ya Rais Cyril Ramaphosa na Jumuiya ya Wafanyabaishara, Rais Yoweri Museveni amesema Uganda ina mazingira rafiki kiasi cha kutohitaji watu kufanya kazi kwa nguvu ili kufanikiwa. Museveni ambaye ameitawala Nchi hiyo kwa takriban miaka 37 amesema "Sisi tupo eneo la Ikweta, tuna...
  6. Museveni na Zelensky wa Ukraine wafanya mazungumzo, Urusi kuendelea kutengwa

    Sijajua kwanini Urusi ilikua inamshobokea sana Museveni hadi kutuma viongozi kwake, hata hivyo hali imebadilika, Museveni na Zelensky waingia kwenye makubaliano. ======== President Yoweri Museveni and his Ukraine counterpart, Volodymyr Oleksandrovych Zelensky, on Wednesday evening spoke to...
  7. General Muhoozi, mtoto wa Museveni kaitishia Kenya kwa mara ya pili

    Kwa mara ya pili mtoto wa Rais wa Uganda, General Muhoozi kaitishia Kenya kwa mars ya pili, na kusema nitakuja for sure. Na anadai wakenya wamuombe msamaha yeye. Mara ya kwanza Museveni aliomba Wakenya wamsamehe kijana wake ila kwa sasa kurudi tena. Kwa sasa tweet hizi zimefutwa!
  8. Mtoto wa Museveni Kainerugaba atema cheche kuhusu Rwanda na DR Congo. Afrika Mashariki wanyamaza

    Kipindi flani hawa Rwanda na Uganda wasingetamba hivi. Mimi nawaonea huruma sana DR Congo. Hawa miaka mingi wanachezewa. Toka miaka ile na wakoloni na sasa Waafrika wenyewe kwa wenyewe. Tena wa hapahapa East Africa. Hapana kwa kweli. Ningekuwa na uwezo ningewasaidia Congo. Hawa wapuuzi...
  9. SI KWELI Muigizaji Jackie Chan avaa fulana yenye picha ya Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa Rais Museveni

    Muigizaji Jackie Chan ameonekana akiwa amevaa fulana yenye picha ya Muhoozi kainerugaba, Mtoto wa Rais Museveni.
  10. Wahudumu 5 wa Afya wamefariki kwa Ebola hadi sasa, Rais Museveni atangaza Karantini ya siku 21 kwenye wilaya hatarishi

    Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya, Dkt. John Grace Walugembe anakuwa mhudumu wa 5 wa Afya kufariki kutokana na ugonjwa huo uliosababisha vifo 20 na maambukizi kufikia watu 58 Katika kukabiliana na kasi ya maambukizi Rais Yoweri Museveni ametangaza kuziweka Karantini ya siku 21 wilaya 2 za...
  11. Rais Museveni apiga marufuku waganga wa jadi kutibu Ebola

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni siku ya Jumatano aliamuru waganga wa kienyeji kuacha kuwatibu wagonjwa katika jitihada za kukomesha kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, ambao tayari umegharimu maisha ya watu 19 nchini humo. Katika hotuba yake kwa taifa, kiongozi huyo mkongwe pia aliagiza maafisa wa...
  12. Rais Museveni asaini sheria ya mitandao, ukiikera Serikali jela miaka 5 na faini Tsh. Milioni 6

    Rais Yoweri Museveni amesaini Sheria ya Matumizi ya Mitandao yenye vifungu vya kuwabana watumiaji mitandao endapo watachapisha au kusambaza habari zinazoikera Serikali au watu binafsi. Sheria inatamka kuwa “Mtu yeyote anayetumia mitandao ya kijamii kuchapisha au kusambaza habari zilizopigwa...
  13. Museveni asema asiyeridhishwa na maamuzi yake aje Ikulu ampige

    Mzee amechoka kujieleza, ametoa kauli asiyeridhishwa aje ampige, sio kuongea ongea huko... njooni mnipige...ha ha ha!!
  14. Rais Museveni awaomba msamaha Wakenya kufuatia Tweets za uvamizi alizoweka mwanaye Jenerali Muhoozi

    Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto. Akitishia kuivamia Kenya na kuiteka Nairobi, Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai operesheni hiyo ingechukua si...
  15. Kuna tatizo Gani Rais Museveni kumpandisha Vyeo Kijeshi Mwanae Muhoozi kama ana Uwezo na kakidhi Vigezo?

    Mbona hamkushangaa Rafiki yenu aliyewajengea Msikiti na Misikiti Hayati Ghaddafi alipompandisha Vyeo Mwanae? Mbona hamkushangaa Hayati Rais Laurent Kabila alivyompandisha Vyeo Mwanae Joseph Kabila? Kwanini kila mara Rais Museveni akimpandisha Vyeo vya Kijeshi Mwanae Muhoozi mnawashwawashwa...
  16. Kwa hizi tweets za mtoto wa Museveni ni viashiria vya wazi kuwa shirikisho la siasa ndani ya EAC ni ndoto

    Kwa kipindi tofauti tofauti Jumuiya hii ya Africa ya Mashariki imekuwa inakumbana na mambo ya Ajabu ajabu kutoka kwa viongozi Awali miaka ya 2005's -2010's Tilipitia kile kilichooitwa Coalition of Willingness ambapo hapa kidogo baadhi ya wana jumuiya walitaka kumtenga Tz, hatukukaa sawa...
  17. Rais Museveni ampandisha cheo mwanae kuwa Jenerali wa Jeshi

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amempandisha cheo mtoto wake Muhoozi Kainerugaba, kutoka kwenye cheo cha Luteni Jenerali hadi kuwa Jenerali. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Jenerali Kainerugaba, amemshukuru baba yake kwa kumpa nafasi hiyo.
  18. Rais Museveni apuuza azimio la Ulaya

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa hakuna atakayezuia mradi mkubwa wa bomba la mafuta Afrika mashariki, akipuuza azimio la wabunge wa Ulaya lililotaka mradi huo ucheleweshwe kutokana na lilichokiita ''ukiukwaji wa haki za binadamu''. Kampuni ya Total Energies ya Ufaransa na shirika la...
  19. Nina uhakika ni wana EAC wachache sana tuliyemuelewa Jana 'Genius' Rais Museveni wa Uganda

    "Tujikite kwanza katika kujua tujikite na Policy of Prosperity au ile Policy of Interest au twende nazo zote kwa pamoja ili Kuwasaidia Watu Wetu" "Bila ya kuwa na Mikakati thabiti ya kuhakikisha tunaimarisha Kwanza Regional Marketing na kusisitiza Economic Integration kwa Ukanda wetu bado...
  20. PICHA: Gari lenye choo maalum cha Rais Yoweri Museveni wa Uganda

    Gari hili lina jiko kubwa, eneo la ofisi na sehemu ya kupumzika pia shughuli za mapishi zinafanyika wakati gari likiwa kwenye mwendo ambapo Rais anaweza kupata chakula kwa wakati anaotaka Kwa nje gari hili lina mifumo mingi ya kumsaidia Dereva kwenye kuliendesha, mifumo hiyo inahakikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…