Mimi si msomaji mzuri sana wa Maandiko Matakatifu , lakini ninafahamu kidogo kwamba ndani ya Biblia kuna kisa kilichomhusu Yesu na Petro , inaelezwa kwamba Petro alijaribu kupita Juu ya Maji kama alivyokuwa anafanya Yesu , yaani Yesu alikuwa na kawaida ya kukatiza tu Juu ya Maji bila kuzama...