BUGGATI AKIGUSWA NI YANGA IMEGUSWA.
Na Thadei Ole Mushi.
Hima hima wanayanga wote Duniani, Ukiachana na Magoli anayofunga Mayele uwanjani, ukiachana na ubora wa kina Feisal, Ukiachana na Mpunga mzito anaoutoa GSM kwenye timu, ukiachana na ufundi wa makocha wetu kunakiumbe kinapigana pale...
Naheshimu mawazo yako Thadei Ole Mushi,nilijua utatutajia nini kimempata Ndugai lakini umeishia kupamba pambo maua,kupiga maneno na kutuletea maajabu ya Bongo,bongo sihami.Unasema awamu ya tano imeishia kununua wapinzani na kukopa Trillion 29,ninukuu ya Mzee Mwinyi sijui kama nainukuu sawa sawa...
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Apolikarp Mushi kwa tuhuma za kumuunguza sehemu za siri kwa moto wa sigara, mjukuu wake wa kiume pamoja na kumtegua nyonga kwa kutumia kitu kizito.
Mushi anayeishi kijiji cha Uru Kyaseni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kumfanyia...
HUMPHREY POLEPOLE SI KUBEZA
Na Thadei Ole Mushi.
Huenda Polepole yupo sahihi lakini Madhara ya anachokisema ni makubwa mno.
1. Yeye kama Kiongozi ana Platform kubwa zaidi kuliko Mimi na wewe ya kushauri Kwa kumfuata Mkuu wa Mkoa DSM wakajadiliana kuhusu wamachinga.
2. Kauli hizi zinaweza...
Sitasahau siku Mushi alipokuja kufanya vurugu nyumbani kwangu akijiaminisha kuwa cheo chake cha upolisi ndio kinga yake.
Mungu si Athumani. Leo hii Mushi sio Polisi tena. Ama kweli Dunia duara.
Nipende tu kumdediketia wimbo wa Kali P (imekaa vibaya) uendelee kumliwaza popote aliko.
Mimi ni baba wa watoto wanne mama tofauti tofauti na niliowapata nilipokuwa kwenye harakati za kutafuta mchumba ili awe mke wangu kwenye historia yangu niliwahi kuwa na mwanamke niliempenda sana na kumpa kila kitu ambacho nilikuwa na uwezo nacho,watu wote waliotujua walijua nampenda mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.