Musoma is a city in the east shore of lake Victoria of Tanzania. It is the capital of Mara Region, one of the administrative Regions of Tanzania. It also serves as the administrative centre of Musoma Rural District and Musoma Urban District.
UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI: TWENDE KWA KASI KUBWA
Kumbukumbu:
Naomba kuwakumbusha kwamba hivi karibuni Mbunge wa Jimbo aligawa Saruji Mifuko 150 kwa kila kijiji kinachojenga sekondari mpya. Fedha za saruji hiyo ni zile za Mfuko wa Jimbo
Kijiji cha Mmahare, Kata ya Etaro kinaenda...
Halafu ilikuwaje katika Harusi yako ukanisahau kabisa Kunialika Mimi Kaka yako kutoka Mkoani Kwetu Mara kwa Wababe?
ANGALIZO
Tafadhali ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Mrangi, Mnyiramba, Muha, Mnyamwezi na Mkara kaa mbali na huu Uzi Okay?
Leo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameitisha Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kwa lengo la kugawa vifaa vya ujenzi vitakavyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo.
Waliohudhuria Kikao hicho:
(i) Wajumbe wa Mfuko wa Jimbo
(ii) Sekretariati ya Mfuko wa Jimbo...
Mbowe kaanza visingizio mapema.
Kwani lissu Kula kitimoto na bia unahusika nini na uchaguzi?
Lissu Kula Sato na ugali wa mtama inakujaje kwenye uchaguzi kwa nini haukusema hayo mapema iweje Leo?
Mbowe atangaze Sera au aseme walikula wote hivyo vyakula, asilete ujanja ujanja kisa uchaguzi
MUSOMA VIJIJINI INAJITAYARISHA KUFUNGUA SEKONDARI MPYA SITA (6) MWAKANI (2025)
Kipaumbele namba moja cha Jimbo la Musoma Vijijini kinatekelezwa kwa kasi ya kuridhisha.
Kipaumbele hicho ni: ELIMU
Jimbo lina Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374. Tunazo Sekondari za Kata 26 na za Binafsi ni...
WANAVIJIJI WAIPOKEA ZAWADI YA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA SHANGWE TELE
Leo, Kituo cha Afya cha Kata ya Bugwema kimepokea Gari jipya la Wagonjwa (Ambulance) kutoka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Wanavijiji kutoka Kata hiyo yenye vijiji vinne (Bugwema, Kinyang'erere, Masinono na...
MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA
Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini. Kikao kimefanyika Kijijini Murangi, Makao Makuu ya Chama Wilaya
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini...
Habari za muda wakuu nauliza basi gani zuri la kutoka Dar kwenda Musoma kwasasa.
Na nauli zao zipoje?
Aisee nimepamis sana home wakuu miaka minne imepita sijaondoka humu jijini.
CRDB YAFUNGUA TAWI LAKE MUSOMA VIJIJINI
Mgeni Rasmi:
Ndugu Gerald Musabila Kusaya
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Mahali:
Kijijini Kwibara, Kata ya Mugango
Leo, Alhamisi, 19.12.2024 Benki ya CRDB imefungua Tawi lake Kijijini Kwibara, Kata ya Mugango.
Mgeni Rasmi alikuwa Ndugu Gerald Musabila...
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii ndege ya serikali imeandikwa musoma.
So maybe help me to understand kwa nini iitwe musoma na sio Iringa,kasulu,sumbawanga,ilala au mji mwingine wowote?
Asante
Ally Zedi Rajabu mtia nia wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa wa Kitaji, Manispaa ya Musoma mkoani Mara amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya mgombea mwenza kutumia rushwa na majina ya watu wanaodaiwa...
MUWASA YAENDELEA KUSAMBAZA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI
Mitambo iliyofungwa Bukanga, Musoma Mjini, kwa ajili ya kuzalisha maji kutoka Ziwa Victoria ina uwezo wa kuzalisha lita milioni 36 za maji kwa siku - haya ni maji mengi mno ukilinganisha na mahitaji ya maji ya kila siku ya Mji wa Musoma...
Wanatech karibuni kwenye uzi wetu mpya ambao utakuwezesha ku'share stori ama tukio lolote unalolikumbuka kipindi unasoma pale tech.
Welcome Technical Boys.
UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU VYA MAJI UMEANZA NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Jumatatu, 26.8.2024, Mkuu wa Wilaya ya Musoma (DC), Dkt Khalfany Haule amepokea na kushuhudia gari lenye mtambo wa uchimbaji wa visima virefu vya maji ukianza kazi kwenye Kata ya Bugwema ya Jimboni mwetu.
Jimbo letu...
WANANCHI WAONGEZA KASI YA UJENZI WA SEKONDARI MPYA KWENYE KATA ZETU
Jimbo la Musoma Vijijini linaongeza kasi ya ujenzi wa sekondari mpya za Kata kwa kushirikiana vizuri na Serikali yetu.
Vilevile, kasi imeongezeka kwenye ujenzi wa maabara tatu (3) za masomo ya sayansi (physics, chemistry &...
ELIM
ELIMU YA SEKONDARI NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Ukubwa wa Jimbo letu:
Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374
Idadi ya sekondari Jimboni mwetu:
+26 za Kata zinatoa elimu
+2 za Binafsi zinatoa elimu
+3 mpya zinajengwa kwa fedha za Serikali Kuu. Wanavijiji kuchangia nguvukazi
+3 mpya...
Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana.
ONYO
Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara...
Jina langu ni Yohana Mayunga, mzaliwa wa Musoma, mkoa wa Mara. Katika maisha yangu, nimejifunza mengi kupitia methali, misemo, mafumbo, na nahau. Hizi ndizo nguzo zinazoniongoza katika safari yangu ya maisha. Nimepitia changamoto nyingi, lakini hekima za wahenga zimeniongoza na kunipa mwanga wa...
Kambi ya jeshi la polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU kilichoko mtaa wa uwanja wa ndege kata ya kamunyonge manispaa ya Musoma kinaendesha zoezi la ulipuaji mabomu na silaha za kivita ovyo bila utaratibu wakati wa mazoezi yao bila kutoa tahadhari kwa wananchi jambo ambalo limekuwa kero na kuzua...
Timu ya UMITASHUMTA ya wanafunzi wa Shule za Msingi za Musoma Vijijini wako kambini wakifanya mazoezi yakiwa ni kwa ajili ya maandalizi yao ya mashindano ya UMITASHUMTA Mkoa wa Mara.
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo amechangia ushiriki wa wanafunzi wetu kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.