Musoma is a city in the east shore of lake Victoria of Tanzania. It is the capital of Mara Region, one of the administrative Regions of Tanzania. It also serves as the administrative centre of Musoma Rural District and Musoma Urban District.
Kijiji cha Muhoji ni moja kati ya vijiji vinne (4) vya Kata ya Bugwema - vingine ni Masinono, Kinyang'erere na Bugwema. Kata hii ina Sekondari moja iitwayo Bugwema ambayo kwa sasa imeelemewa sana kwa sababu hizi:
Kidato cha Kwanza (Form I) cha mwaka huu (2023) kina jumla ya WANAFUNZI 362...
Tukiwa tunaelekea kwenye uzinduzi wa mikutano ya hadhara, kitu pekee ambacho ninawasihi na itakuwa jambo kubwa na la heri, ni kuzingatia muda na mikutano ianze mapema sana maana wazungumzaji ni wengi sana na tungependa tuwasikilize wote.
Pia msisahau kutupa matukio mubashara kupitia youtube
Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374.
Jimbo hili lina jumla ya Sekondari 27:
Shule 25 za Kata/Serikali
Shule 2 za Binafsi (SDA & KATOLIKI)
UPUNGUFU WA MIUNDOMBINU
Tunaendelea na ujenzi na uboreshaji wa miundombimu iliyopungufu kwenye Sekondari zetu za Kata...
Jumamosi, 14.1.2023, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ilikagua Mradi wa ujenzi wa miundombinu ya Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari- Butiama.
Gharama ya Mradi huu ni kubwa:
~ Tsh bilioni 70.5 kutoka Serikali ya Saudi Arabia (49.12%), BADEA (31.40%) na Serikali ya Tanzania...
KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE (HEADMASTERS) ZA MUSOMA VIJIJINI
Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina jumla ya Sekondari 27 ambazo:
Shule za Sekondari 25 ni za Kata/Serikali
Shule za Sekondari 2 ni za Madhehebu ya Dini (SDA & Katoliki)
Mbunge wa Jimbo ataitisha KIKAO cha...
Zaidi ya Bilioni 4 Kusambaza Maji Kata za Tegeruka na Mugango - Jimbo la Musoma Vijijini
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ameelekeza ifikapo Februari, 2023 utekelezaji wa mradi wa kufikisha maji kwenye Kata za Mugango na Tegeruka Wilaya ya Musoma Vijijini uwe umeanza ili...
Mahakama mkoani Mara imemhukumu Paschal Anatory mkazi wa Musoma miaka 30 gerezani baada kutiwa hatiani kwa kosa la kubaka mara kwa mara binti yake wa kufikia anayesoma shule ya msingi.
Akitoa jumuisho, hakimu wa Serikali aliomba mahakama itoe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24.
Eneo la tukio na...
hawapendi
hawataki
jambo
jamii
jpm
mara
mifugo
mikoa
mkoa
mkoa wa mara
musoma
mwanafunzi
panya
panya road
sana
serikali
silaha za jadi
udsm auawa
uvamizi
watanzania
Musoma, Tanzania
Waziri Mwigulu Nchemba apigwa maswali mazito na wananchi mkoani Mara
Wakaazi wa Sirari Rorya wasema wanamtambua vizuri hata mawe na majabali ya (mawe) kote nchini yaandikwa mwigulu rais ktk ya kampeni za urais 2015.
Baada ya sofa hizo waelezea fani na kamatakamata...
Ukiwakosa Jeshini katika Nafasi za CDF badi utawakuta hata TISS katika Nafasi za Juu Juu na ukiwakosa huko basi huwezi Kuwakosa katika Jeshi la Police kama IGP na ukiwakosa huku basi hata kule JKT pia hutowakosa kama Wakuu.
Sifa (Tunu) Kuu ya Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) ni...
1. Waaminifu na...
Somo @yustamsowoya amewahasa wanawake kuwa na kauli na lugha nzuri pindi wazungumzapo na waume zao kwani hakuna mwanaume anayependa kudharauliwa na mwanamke.
Chanzo: EastAfricaRadio
Huu upuuzi Wao wakawafanyie tu Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakara na Wanyamwezi siyo Sisi.
Siku hizi kila ukisikia tu Mauwaji pamoja na Ukatili mbalimbali utasikia tu ni Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Iringa, Mbeya, Mtwara, Morogoro, Singida, Dodoma, Shinyanga, Mwanza, Ruvuma na Kagera tofauti na ilivyozoeleka na Kukaririwa kuwa Mkoa Kinara wa Kutukuka kwa Vitendo hivi ni Mkoa wangu...
Wakuu habarini za humu.
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza, natafuta gari ya kusafirisha maiti kutoka Dar to Musoma, iwe katika Hali nzuri.
Kwa walio nazo, offer za bei zenu toeni hadharani kwenye comment nitakaefikia nae muafaka nitamfuata DM tukamilishe dili
GARI YA KUBEBA CONTAINER 20FT INAHITAJIKA MUSOMA
Pana container linahitajika kusafirishwa ndani ya 50 km toka musoma mjini
Kwa yeyote wa kupata gari hilo tuwasiliane hapa
MSAIDIZI WA HESABU (ACCOUNTS ASSISTANT) - 1 POST
POST CATEGORY(S)
ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER
Halmashauri ya Wilaya ya Musoma
APPLICATION TIMELINE:
2022-04-12 2022-04-25
JOB SUMMARY
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu...
Nyeregenge ni kijiji kinachopatikana Musoma vijijini mkoani Mara.
Kijiji hiki hakina shule, hakikuwa na msikiti wala kanisa, na kimepata kanisa lake la kwanza miaka ya hivi karibuni, 2017 ambapo Wakatoliki wamejenga kanisa.
Kijiji hiki kina watu waliobobea kwenye mila na tamaduni ambapo hadi...
Mama mjamzito ametoka Burundi kwenda Kwa mume wake Kenya Juzi tarehe 25/02/2022. Alivyofika Musoma alikamatwa na uhamiaji sehemu ainayoutwa Kurumuli (Barrier) . Alijitetea kwa uchungu Sana mpaka tulio kuwa kwenye gari lile tulipata huruma.
Mama alijitetea kuwa anaenda Kenya kujifungulia huko...
Nakukumbusha mheshimiwa rais mliidhinisha pesa za upanuzi wa viwanja kadhaa vya ndege hapa nchini na cha Mkoa wa Mara hapo musoma kikiwa ni kimojawapo.
PICHA: Sehemu ya mji wa musoma unavyoonekana kutokea juu.
Taarifa tulizo nazo pesa ilitolewa ili kufidia wananchi waliopo kwenye eneo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.