Wapendwa kwema na amini sote tuna endelea kuchukua tahadhari zidi ya magonjwa ya kuambukiza hasa Covid 19.
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza Binafsi nilikuwa nakusikia tu Musoma nanilikuwa sijawahi kufika ila mwanzon mwa mwaka nimebahatika kufika uko Musoma mkoani Mara. Kiukwel nimeshangaa...