Tukio la daktari katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu (Somanda) kudaiwa kumpiga hadi kuzirai muuguzi katika hospitali hiyo limechikuwa sura mpya baada ya ufafanuzi kuanza kuwekwa wazi.
Pia soma ~ Daktari amempiga hadi kuzirai Muuguzi mwenzetu, hakuna hatua...