Zijue Kozi 40+ za degree ambazo Muuguzi/Nurse wa Diploma anaweza kuzisoma Tanzania kwa mujibu wa Guidebook ya TCU 2024/2025
If your a Nurse Midwifery with an ordinary Diploma save this👇🏾
1. Bachelor of Science in Nursing - MUHAS, UDOM, St. John, Kcmc, KiU, Kairuki, Agakhan, ZU, miaka 2.5 - 4...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekemea na kuwaonya viongozi wa Hospitali nchini ambazo zina magari ya kubebea wagonjwa (ambulance) wenye tabia ya kutoza wagonjwa au ndugu zao malipo ya posho ya dereva pamoja na mtaalamu ambaye uhusika katika safari.
Amesema kwamba ni marufuku kwa hospitali zote...
Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Khudheifa Changa, ambaye alikuwa ni Muuguzi wa Hospitali ya KCMC Moshi mkoani humo.
Inadaiwa Khudheifa Changa aliuawa usiku wa kuamkia Julai 2, mwaka huu wakati akipita katika uchochoro wa Mtaa wa Marindi...
Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Muuguzi wa hospitali ya KCMC Moshi Khudheifa Changa (26)
Akitoa taarifaa hiyo kwa vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ACP Simoni Maigwa amesema kuwa walio kamatwa ni...
..........................................................................................
TABORA: Muuguzi daraja la pili, Rayson Duwe aliyetuhumiwa kumbaka Mjamzito wa Wiki 32 aliyekuwa amelazwavkatika Hospitali ya Wilaya ya Sikonge, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilayani humo...
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limemtia hatiani Rose Shirima aliyeonekana kwenye video katika mitandao ya kijamii akibishana na mtaalamu wa maabara kuhusu vipimo, kuwa atakuwa chini ya uangalizi wa muuguzi mkuu wa Wilaya ya Uyui, Tabora kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Rose ambaye ni...
Muktasari:
Chama cha Taifa cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimetoa taarifa ya video iliyosambaa mitandaoni ikionyesha malumbano kati ya muuguzi na mteknolojia wa maabara katika Zahanati ya Ishilimuya wilayani Uyui Mkoa wa Tabora, kikisema hakukuwa na vitendanishi vilivyoisha muda wake kama...
Sakata la wauguzi huko mkoani tabora waliokuwa wakibishana juu ya matumizi ya vifaa vilivyoisha muda wake limeibua maoni mengi sana ya watu!
Wengi wao wameishia kulitazama kwa juu juu na kumuona yule afisa binti mwenye Rafudhi ya KIJITA mix na KIKURYA kwamba ndiye mkosaji na yule mwingine yuko...
Ofisa Muuguzi (II) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila, Dar es Salaam, Sarwat Soluwo amedaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kilichodaiwa mateso aliyopitia baada ya kusimamishiwa mshahara na uongozi wa hospitali hiyo.
Taarifa za ndani ya hospitali hiyo zinaeleza Sarwat alisitishiwa mshahara...
Muuguzi Mkenya mwenye umri wa miaka 42 amekiri makosa ya ulaghai katika huduma za afya, kusaidia ulaghai wa huduma za afya, kula njama ya kulipa na kupokea marupurupu, na makosa mengi ya kudanganya wachunguzi wa shirikisho la Marekani.
=======
A 42-year-old Kenyan nurse has pleaded guilty to...
Lydia Nyaguthii, muuguzi wa Hospitali ya Tumutumu PCEA, Kaunti ya Nyeri ameuawa na mwenza wake, Stephen Muriithi ambaye walikuwa kwenye uhusiano kwa miaka 20 baada ya kukutana hospitali wakati Stephen alipofika hospitalini hapo kupatiwa matibabu
Lydia alimhudumia Stephen aliyemwagiwa maji ya...
Na Bernard Ntiyakama, BScN, TMCEHP, RN.
Mafunzo yanayomwandaa mtu kuwa Muuguzi humpa maarifa anayo yahitaji kutekeleza wajibu mbalimbali za kitaalamu ikiwemo kutoa Dawa.
Jukumu hili lanabakia kuwa salama sana mikononi mwa Muuguzi kwa sababu nyingi ikiwemo zifuatazo.
1. Anaufahamu mwili na...
Kenyan Anna Qabale Duba named world’s best Nurse. PHOTO/Courtesy
Anna Qabale Duba from Marsabit County in Kenya has been named the winner of a prestigious award, which has prize money of $250,000 (Ksh29M).
Sheikh Ahmed Bin Saeed Al Maktoum, President of Dubai Civil Aviation Authority honoured...
Lucy Higgs Nichols ni mzaliwa katika utumwa huko Tennessee, lakini wakati wa Vita vya wenyewe kwa wenyewe alifanikiwa kutoroka na kupata njia yake hadi Kikosi cha 23 cha Wanachama cha Indiana ambacho kilikuwa kimepiga kambi karibu. Alikaa na jeshi na alifanya kazi kama muuguzi wakati wote wa...
Wizara ya Afya imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa hii inayozunguka mitandaoni kuwa, mtaalamu wa Afya katika kituo ambacho bado hakijatambuliwa amemshona mgonjwa jeraha kisha akalifumua kwa madai kuwa mgonjwa huyo hakuweza kulipia gharama. Ikiwa hili limetokea nchini Tanzania, basi ni...
MGONJWA aliyekuwa akiwahishwa katika Hospitali ya Wilaya Same, Ester Paresetwi (35) na gari likapinduka na kuua muuguzi na dereva amepona mara tu baada ya ajali.
Katika ajali hiyo ya gari la wagonjwa, muuguzi wa zahanati ya Kisiwani wilayani humo, Joshua Jacob (29) na dereva, Jumanne Makumbe...