Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya video kuvuja wakifanya igizo la chanjo ya corona ambayo watanzania wengi hawaonyeshi kukubaliana nayo...
Sitaki kutia neno, Jionee mwenyewe na uchukue hatua.
UPDATE: 06 August, 2021
Waziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kumsimamisha kazi Mwalimu Omary Abdallahemed Kwesiga ambaye ni Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Aidha...
Kwa mujibu wa taarifa hapo juu, Gloves sio lazima kuvaliwa wakati wa kuchoma chanjo ya COVID-19.
Hivyo tunapenda kuwatoa hofu wananchi kuwa Mhudumu aliyewachoma chanjo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine alikuwa anatekeleza majukumu yake kwa kufuata taratibu zote ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.