muumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ndio maana Muumba wetu akatupa muongozo (Katiba) tuufate dunia nzima ili kuepusha haya yanatokea duniani

    Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze. Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla. Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kumtafakari Mungu, kuna maswali nimekuwa najiuliza kumhusu huyu Mungu wa Wakristo na Waislamu ambaye ni Mungu Mmoja,Mungu wa Ibrahimu na wanae Ismail na Isaka,na sheria ya Mungu kwa dini hizi mbili ni sheria ya moja ya Musa, ambaye japo ndie Muumba wa dunia hii...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nyie wazee 7, mnakaribia kurudi kwa Muumba wenu, achana na Unajisi wa kutenda dhambi kubwa. Tubuni dhambi na si kuongeza dhambi

    Achana na DHAMBI hii kubwa ya kusafisha mauaji ya HALAIKI. Mnakaribia kufa, kwa umri wenu , ni muda wa kutubu dhambi mlizozifanya mkiwa madarakani. Msiongeze DHAMBI HII KUBWA YA KUBARIKI MAUAJI YA HALAIKI/ KIMBALI. TUBUNI HUKUMU ZA UONEVU MLIZOZITOA NA SI KUONGEZA HUKUMU ZA UONEVU
  4. JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi wa Dini ni kama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi

    Baadhi ya viongozi wa dini nikama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi badala ya kumtumikia Muumba madhara ya kuchanganya maji na mafuta kwenye chombo kimoja na mwisho kuishia kutengana Kwa taarifa yao ni kuwa -Muumba hawaelewi -Serikali...
  5. JamiiForums Tanzania Chagua kufikiri kama Mungu na utaishi kama uliyemuumba kuwa

    Katika mistari hii ya kina ya Seneca, tunaalikwa kuutafakari msingi wa maisha yetu—siyo kwa matukio ya nje, bali kwa namna tunavyoyatafsiri kupitia fikira zetu. Hii ni falsafa ya kweli ya kiungu, inayotufunza kwamba akili ni mlango wa maisha, na kwamba furaha, huzuni, amani au mateso—vyanzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…