JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.........KAZI IENDELEE 🇹🇿 🇹🇿
Naanza na kuishukuru serikali yetu ya Awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutujari Watumishi wa umma, na si Watumishi tu, bali makundi yote yameguswa chanya na serikali yetu, utaona ruzuku zimejaa kila Kona ya nchi, na...
Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
Utangulizi
Tanzania imekua miongoni mwa nchi ambazo imekua ikukumbwa na janga la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo, vijana na wananchi wengi kiujumla, na tatizo ni kwamba wasomi wamekua ni wengi lakini mahala pakufanyia kazi pamekua ni pa achache au kwa ufupi ajira zimekua finyu lakini...
Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo.
Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua.
KARIBUNI.
WHATSAPP: 0755325977
Hivi ndugu zangu Watanganyika tutaelimika lini? Yani tunaburuzwa kwenda kupiga kura ilihali Mshindi anajulikana nasi hatuoni shida! Hivi katuloga nani?
Unaacha shughuli zako kabisa na kwenda kuunga foleni🚮🚮 Mimi kama Prof. Assad tu, kama tumeshindwa kupigania mifumo huru na thabiti sioni haja...
Nianze Kwa kumuunga mkono Mbunge wa Viti maalum Iringa Jesca Msambàtavangu juu wa utendaji wa wizara ya Jinsia na watoto pamoja na Idara zake jinsi zilivyojikita kutetea upande mmoja WA wanawake na watoto wa Kike pekee.
Afande IGP, ugonjwa huu umelikumba Kwa kiwango kikubwa Dawati lako la jinsia...
Visiwa vya Pemba na Unguja, vilivyoko Zanzibar, Tanzania, vina historia ya kijiolojia inayofurahisha. Jiolojia ya visiwa hivi inahusisha michakato mbalimbali ambayo imesababisha muundo na muonekano wa kijiolojia wa visiwa hivyo.
Kwa kuanza, visiwa hivi vinaundwa na miamba ya ardhini ambayo...
Iringa ni mkoa ulioko katika sehemu ya kusini mwa Tanzania, na ni sehemu muhimu sana kijiolojia katika kuelewa muundo wa bara la Afrika.
Kijiolojia, eneo hili limeathiriwa na michakato mingi ya kijiolojia ambayo imeunda miamba ya kale na muundo wa ardhi unaopatikana huko.
Miamba ya kale...
Imagine, zilungana Zanzibar na Tanganyika kuunda seeikali ya Muungano, lakini zanzibari ime retain taifa lake wakiwa na katiba, raisi, wimbo wa taifa, bunge, Baraza la mawaziri, wimbo wa taifa, bendera huku Tanganyika ikifutika. Hilo ndio KERO kuu isiyo ongelewa
Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club.
Kipindi hicho Kipya kitaitwa Unguruma na Simba SC ambacho kitakuwa kina Udhamini wa Bia nzuri ya Pilsner...
Bainisha madhumuni na maudhui ya tovuti yako. Fikiria hadhira lengwa na muundo na mpangilio wa jumla ambao ungependa kufikia.
Chagua jina la kikoa: Chagua jina la kipekee na la kukumbukwa la kikoa ambalo linaonyesha madhumuni ya tovuti yako. Hakikisha umeangalia ikiwa kikoa unachotaka...
Leo Tar. 15/06/2023, Dr. Mwigulu (WFM)anasoma Bajeti ya Serikali 2023/2024, Nimatumaini yangu bajeti yetu itajibu kilio Cha miaka mingi Cha watumishi kuomba kuwekewa muundo wa kiutumishi kwenye Elimu ya masters. Isipotokea Inshallah siku nyingine.
KAZI IENDELEE
MHE. MARY MASANJA - MUUNDO WA JESHI LA UHIFADHI UNAFANYA KAZI VIZURI
Serikali imesema Taasisi za Uhifadhi nchini zimeendelea kutekeleza majukumu yake ipasavyo kufuatia muundo wa sasa wa Jeshi la Uhifadhi kuziwezesha Taasisi hizo kufanya kazi zake vizuri huku kila Taasisi ikiwa inasimamiwa na...
Habari za majukumu.
Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Naomba wenye waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango anisaidie Nina shida nao. ( Current updated)
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu muundo na majukumu ya Wizara hiyo kwa mujibu wa ratiba na vikao vya Kamati za Bunge ambavyo vimeanza Machi 10, 2023.
========
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na...
Habari za Leo wataalamu na wabobezi wa fani mbalimbali.
Niende Moja kwa Moja kwenye Maada. Naomba mwenye waraka/Mwongozo wa muundo wa kiutumishi (job schemes) unaosimamiwa na wizara husika anisaidie maana nimeutafuta kwenye tovuti ya utumishi nimeukosa na kwenye searching engine zingine...
Tuzo maarufu duniani ya iF Design hivi karibuni ilitangaza washindi wake kwa 2022 ambapo TECNO ilishinda katika kitengo cha Bidhaa na Tehama kwa muundo bora wa bidhaa wa Phantom X na CAMON 19 Pro. Hii ni tuzo ya kwanza ya TECNO katika shindano la kimataifa la ubunifu, ikithibitisha kujitolea kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.