Mhe. Edward Lowasa alipokuwa Waziri Mkuu alikuwa msimamizi wa TAMISEMI na alitumia vyema nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuwa na network Kila Kona. Mzee Pinda na Mawaziri wengine wakuu waliowahi kuhudumu nchini awakufanya kama Mzee Lowasa. Lowassa alifanya vile Kwa sababu alikuwa amejipanga...
Habari za muda huu.
Naomba kufahamu kwenye hizi nafasi za kazi TRA kwenye kipengele cha Tax management assistant II ni maswali gani wanatoa na yanatoka kwenye kitabu kipi?
Note:- diploma holder
MARKET STRUCTURE
Kwa kiswahili huu ni muundo wa soko au aina ya soko.
Kama mfanyabiashara au mtu ambae unataka kuingia katika biashara basi ni vyema ujue aina tofauti za masoko yaliyopo na vigezo vya kuweza kuwa katika aina flani ya soko. Pia kama mnunuaji itakusaidia kujua bidhaa flani ni...
Uvunaji wa maji ya mvua husaidia sana kuondoa shida ya maji. Kwa paa kama hili ni rahisi kukusanya maji na kuyahifadhi katika kisima ulicho kiandaa.
Wakati wa ujenzi unapanga sehemu ya vyoo na mabafu yawe upande mmoja na septic tanks ziwe upande huo. Upande wa pili unandaa kusima cha maji...
"Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu"
Mithali 18:18
Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa, iwe Tanzania bara au Tanzania visiwani.
Mara zote hizi lawama...
Nyanja: Demokrasia.
Muundo wa majimbo haya uwepo kwenye nafasi za ubunge na udiwani pia ambapo watakao kuwa na uhalali wa kugombea wawe ni wanajumuiya za vyuo husika na siyo wanafunzi.
Wanafunzi wasiruhusiwe kugombea wala kuchagua wabunge na madiwani watokanao na majimbo ya uchaguzi ya...
Wakubwa heshima kwenu, naomba kusaidiwa muundo wa barua ya uhamisho.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nataka nahama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine
Binafsi sifahamu njia za kupitia ili nifanikiwe kwa haraka. Natanguliza shukrani za dhati kabisa
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!
Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.