Katibu inaweza kubadilishwa kwa manufaa ya taifa. Ushauri wangu, Zanzibar hainufaiki kwa elimu na afya kwasababu ya udogo wake. Tanzania bara tuna nufaika na kutumia mbinu zinazofanana kuanzia kujenga shule, maabara, hospitali na vyuo vya afya.
Wenzetu wa Zanzibar wanapata shida maana hizi...
Nimebahatika kufuatilia na kushiriki mikutano na mijadala maeneo mbalimbali kuhusu Muungano wa Tanzania hii.
Mitazamo ya baadhi ya watu inaashiria muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar unaendelea kuwa moja ya mambo yenye udonda sugu. Kila inapotokeza fursa ama tukio la kuujadili muungano, mambo...
Hivi ndugu zangu hivi huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar upoje huu mimi ua sielewi chochote kuhusu huu Muungano.
Mimi naishi katika nchi ambayo ina Muungano wa nchi mbali mbali. Sitokwenda mbali nitachukuwa mfano wa Quebec na Canada.
Quebec ilikuwa nchi ambayo walijiunga na Canada na...
Milton Obote, Mzee Jomo Kenyatta na Mwalimu Julius Nyerere, Mwenyezi Mungu awapae pumziko lenye Kheri
Kabla ya Uhuru nchi zao zote zolikua chini ya Jumuia ya Madola, na shughuli nyingi / kiuchumi ziliingiliana. Baada ya Uhuru wazee hawa waloamia kuendeleza uhusiano ule chini ya shirika jipya...
Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye mishahara yenu! Bila shaka sasa nimeeleweka!
Katiba yetu inampa nguvu kubwa sana Mh Rais, kiasi kwamba watu wengine hujikuta wanamuunga mkono kwa hofu ya kuharibiwa maisha.
Mimi nikipata hii nafasi ntatumia hiyo nguvu kuvunja muungano kwa tamko moja tu.
Nitaitambua nchi inayoitwa Tanzania, na nchi yangu itakuwa na mikoa bara na visiwani...
Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
03 Julai 2022
Unguja, Zanzibar.
Rais wa SMZ awamu ya nane Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi ameweka historia kwa kuweka hadharani mikataba iliyokuwa ya siri kwa zaidi ya miaka 30.
Imekuwa kawaida kwa serikali zetu kudai mikataba ni siri kubwa baina ya mwekezaji kwa upande mmoja na serikali iliyopo...
Source BBC: Kuwa ilikua ni ndoto ya Muasisi wa Taifa la BURUNDI Hayati Rwagaore kuunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi Moja.
Siri hiyo aliitoa Mwa Nyerere katika Moja ya vikao vya usuluhishi wa migogoro ya Burundi.
Kwa mujibu wa BBC, majadiliano yanaendelea ili kutimiza ndoto ya Rwagasore...
G7 wanajinasibu kama International community na wanajidanganya kutaka kuiburuza dunia ifuate matakwa yao kwa lazima kwa vitishio vya vikwazo.
China imewaambia G7 wakumbuke kuwa wakati wanawakilisha watu 777,000,000 duniani kuna BRICS (Brazil, Russia, India, China na South Africa)...
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett imetangaza kwamba Serikali ya Muungano ya nchi hiyo itavunjwa, na hivyo uchaguzi mwingine kuandaliwa.
Bennett na mshirika wake mkuu, Yair Lapid, watalivunja Bunge katika siku zijazo, ofisi ya Bennett imesema. Lapid atahudumu kama Waziri Mkuu wa...
SI ZAIDI KATIKA HISTORIA YA MUUNGANO BALI NI KATIKA WIMBO HUU WA WESTERN JAZZ BAND 1964
Ilikuwa nawasha gari langu usiku nikaliegeshe kwa walinzi mtaa wa pili.
Gari limewaka na radio inasema.
Nimeshtuka naisikia sauti ya rafiki yangu Juma Mnonji anahojiwa kuhusu maisha ya Ahmed Kipande Band...
SI ZAIDI KATIKA HISTORIA YA MUUNGANO BALI NI KATIKA WIMBO HUU WA WESTERN JAZZ BAND 1964
Ilikuwa nawasha gari langu usiku nikaliegeshe kwa walinzi mtaa wa pili.
Gari limewaka na radio inasema.
Nimeshtuka naisikia sauti ya rafiki yangu Juma Mnonji anahojiwa kuhusu maisha ya Ahmed Kipande...
Wakati mwl Nyerere anachanganya mchanga au udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama inavyoonekana kwenye picha👇inaonekana mikono yake yote miwili ilishiliki kwa pamoja katika kuchanganya udongo huo.
Sasa naomba kujuzwa udongo wa Tanganyika ulishikwa kwa mkono gani hapo, wa kulia au kushoto?
Ninayo machache kwako kama raia wa nchi kama ilivyo kwa watanzania wengine. Kwa siku za hivi karibuni hasa alhamisi ya tar 12.05.2022 kulienea taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya uanachama wa dada zetu 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA kuwa wamevuliwa uanachama wao ndani ya CHADEMA.
Na...
Wadau wa haki Nchini Tanzania wanakaribishwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu, leo Mei 13, 2022 kwenye Ukumbi wa PSSSF Jijini Dar es Salaam
Shughuli hiyo inatarajiwa pia...
Siku moja nilibahatika kukutana na waziri fulani (jina kapuni). Nikamuuliza kwanini Wazanzibari wanachukua ardhi yetu hapa bara wakati Wabara hatuna haki ya kupata ardhi Zanzibar?
Akanipa jibu hili "Kijana Acha CHOKOCHOKO" alinikera sana, walio kuwepo watakumbuka.
Mzee mwingine wa kanda ya...
Za ndani kabisa huenda Mzaramo akatoswa kwa sababu chawa wanamwaminisha mama eti haaminiki na ni muumini wa kundi la mwendazake hivyo wanahisi huenda atatoboa mtumbwi wenye nyingi siri ndani ya Baraza la Mawaziri.
Inasemekana mabadiriko yale yangeshafanyika tokea wiki jana lakini mtego aliokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.