muvi

Muvi TV is a private television station in Lusaka, Zambia. It was formed in 2007 and is one of the 4 major private stations in Zambia. It has faced major government shutdowns in the past due to its reporting of critical issues.In 2011, president Rupiah Banda ordered the closure of the station just before the general elections.

View More On Wikipedia.org
  1. Point less

    Natafuta muvi kali zenye sifa kama hizi!

    Kwanza ziwe za kuchekesha Pili ziwe za kutisha Tatu ziwe za maajabu Nne ziwe na mkono wa kufa mtu Kusiwe na huzuni kwenye muvi hiyo Na pia kama katuni pia napendelea Naombeni tafadhali NA PICHA ZAKE IKIWEZEKANA
  2. Da'Vinci

    Wazazi kuweni makini na watoto wenu kuangalia muvi zenye superheroes Content

    Head's Up: Maneno nitakayoandika hapa haimaanishi kua nina dharau Uweza na Uumbaji/ Status ya-wa mwanamke katika Jamii. Kwanza kabisa mimi ni mpenzi wa Superhero based content, hasa content zinazotengenezwa na kampuni ya Marvel. Muvi hizi zinapendwa na watu wengi sana duniani wa rika zote na...
  3. 8ATP

    Stori ya muvi ya War Horse 2011

    War Horse 2011 Farasi wa Vita. Hichi kisa cha War Horse 1912 Devon, England jamaa-Ted ananunua Farasi mnadani kwa mkwara anamu-outbid mwenye nyumba wake, watu wote wanamshangaa mbona Farasi sio wa kazi. Nyumbani mkewe anashangaa, maamuzi gani Ted-mumewe amefanya, kama vipi bora arudishe tu...
  4. Point less

    Jamani nashindwa kupakua (download) muvi kwa simu yangu nisaidieni

    Simu yangu ni kipad aina ya tecno T528 ina ingia facebook ,google, ni sehemu gani nitumie?
  5. KENZY

    Nafikiri ni muda sahihi kwa wanasaikolojia kuanza kutumika kwenye uandaaji wa muvi

    Habarini watu..? Moja kwa moja niende kwenye mada husika ni kuwa ombi au hoja yangu ni kutaka kutumika wataalum wa saikolojia ktk uandaaji wa filamu.. masoko ambayo haswa nimeyalenga ni haya ya kwetu zaidi,namaanisha bongo muvi na wengine ambao hawatumii wataalum hawa. Kwanini watumike...
  6. Da'Vinci

    Orodha ya Muvi bora 2020

    Salute.. B.Obama mwanzoni mwa wiki katoa orodha yake ya Movies na Series bora alizotazama mwaa huu. Ifuatyo ni orodha ya muvi bomba nilizotazama mwaka huu 2020. Nb Kuna zingine sio za mwaka huu ila nimeziangalia mwaka huu nimezipenda sana. ✓✓Action Movies Wonder woman 1984 Extraction What...
  7. Da'Vinci

    Movie ya Wonder Woman 1984

    Finally mwaka naumaliza vizuri kwa muvi safi. Nimeisubiria toka dec 2019 Hatimae imetoka 16 Dec 2020 wameipiga danadana sana loh. Kwa mwaka huu muvi ya Extraction bado ilikua inashika namba moja upande wangu kwa muvi zilizotoka Si nyingine ni Wonder Woman 1984 played by Gal Gadot. It's worth...
  8. EvilSpirit

    Naitafuta muvi hii hata sijui inaitwaje

    Muvi hii ni ya kiswahili niliiangalia muda mrefu sio bongo muvi ni zile muvi nadhani zinafadhiliwa na wahisani.nakumbuka sehemu chache sana kwenye hiyo muvi.kuna watoto wawili wa kike na wa kiume mama yao alikufa au aliachwa na baba yao,baba akawa akaoa mwanamke mwengine, yule mwanamke akawa...
  9. fungi06

    Muvi gani ilikufanya uache angalia muvi zilizotafsiriwa?

    Jana nimemka na weekend vibe nikasema embu kwanza nicheki muvi kali niliyo download Ee bwana kuwasha gafla nakuta kumbe imetafsiriwa nikasema ewaaaaa bora ata nisichoshe akili kusoma sub title. Ghafla muvi imefika dk ya 10 sekunde ya 40 nikaona sub title ya muvi imeandikwa (dont come around me...
  10. TheChoji

    Vitu vya uongo tunavyoonyeshwa kwenye muvi za kizungu

    Wengi hua tunadhani muvi za bongo tu ndio zina vitu vya hovyo. Kiukweli muvi za kizungu pia zina maujinga mengi yasiyo na uhalisia. Hivi ni kati ya vitu vya uongo na vinavyokera hasa kwenye muvi za kizugu. 1. Bunduki kutokuisha risasi. Ushawahi ona kwenye muvi mtu ana ki bastola au SMG anamwaga...
  11. KENZY

    Muvi gani nzuri zakipelelezi..?

    Wakuu naombeni majina ya muvi nzuri za kipelelezi zisizochosha kuangalia na stori Moto....
  12. lee Vladimir cleef

    Lissu ni kama ‘steringi’ katika muvi ya ‘action’

    Movie ilanza steringi alitoka kazini na dereva wake, alipofika maeneo ya nyumbai akashambuliwa na maadui kwa kila Aina ya silaha. Maadui wakakimbia wakajua wamemuua, wamemaliza. Wakaenda kwenye kambi Yao wakasherehekea, huku wakimpa taarifa kubwa la maadui kuwa wmemaliza kazi. Kitongoji chote...
  13. 101 East

    Zijue alama na maana za kudhibiti maudhui kwenye muvi/filamu

    Habari wakuu, Wengi wetu tumekuwa watumiaji wa visimbuzi vya makampuni mbalimbali ili tuweze kupata burudani za filamu,tamthilia na michezo Kwa ujumla ili kuburudika na kuelimika Kwa watumiaji WA DSTV na visimbuzi vingine mara kadhaa kwenye channel tv zinazoonyesha muvi za action, documentary...
Back
Top Bottom