War Horse 2011
Farasi wa Vita.
Hichi kisa cha War Horse
1912 Devon, England jamaa-Ted ananunua Farasi mnadani kwa mkwara anamu-outbid mwenye nyumba wake, watu wote wanamshangaa mbona Farasi sio wa kazi. Nyumbani mkewe anashangaa, maamuzi gani Ted-mumewe amefanya, kama vipi bora arudishe tu...