Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imefanya utabiri wa hali ya hewa wa siku 5 huku ikitoa angalizo kwa siku mbili za Machi 14 na 15, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa na mvua kubwa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Machi 13, 2023, angalizo la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache...