mwache atumikie nyumba

  1. Hassan Mambosasa

    Mwache atumikie nyumba yake, okoa ndoa yake

    Sikia, Umeozesha mwanao, au mdogo wako kaolewa. Elewa huyo hayupo chini ya mamlala yako tena kama ni mzazi. Pia elewa si yule mdogo wako ambaye ulikuwa ukimtuma na kumwambia hivi akawa anatiii. Au uliyemkaripia zamani na hata kuchukua fimbo kama akienda kinyume na maamrisho yako. Yupo chini ya...
Back
Top Bottom