Moja ya tamaduni ya kishenzi inayopaswa kukoma katika jamii ya watu weusi hasa Afrika ni hii biashara ya kununua wanawake ili ummiliki kama mtumwa.
Hii tamaduni ya ulipaji mahari inaendeleza historia mbaya na machungu ya biashara ya utumwa ya kuuzana sisi wenyewe kwa wenyewe.
Kwa kweli...
Kuna mshangao, ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa ina rasilimali asili lukuki?
Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.
Je, ni kweli kwamba Waafrika uwezo wao wa kufikiri...
Ubinafsi umekuwa ni tatizo kubwa sana kwetu Africa kuzidi umoja wa uafrika wetu hasa katika Loyalty ya ukabila / ukoo / mru binafsi,
Mwafrika yupo tayari kumnyima nafasi mwafrika mwenye uwezo kwa sababu za ubinafsi aidha hayupo kwenye kabila / ukoo wake, anahofia akimpa atamzidi maendeleo...
Wote ni binadamu, kwa hiyo wote wana mazuri yao na madhaifu yao.
Unafikiri:
1. Kipi kizuri Mzungu alicho ambacho Mwafrika anapaswa kukiiga?
2. Kipi kizuri Mwafrika alicho nacho ambacho Mzungu anapaswa kukiiga?
Karibuni!
Mishkat al-Masabih Hadith 119 inasema Allah alipomuumba Adam alipiga baga la kulia wakapatikana Wana weupe; akapiga bega la kushoto wakapatikana Wana weusi. Wana weupe akawazawadia pepo na weusi Jehanamu.
Aidha, ulipata kujua kuwa Quran inamtambulisha Mtume Mohammad kuwa mtu mweupe?
Sahih...
Mapinduzi yameishatokea nchini Niger baada ya jeshi ambayo yameungwa mkono na viongozi wa kijeshi wa Mali, Burkina Faso na hata Algeria.
ECOWAS umoja wa nchi za Afrika Magharibi kwa harakaharaka bila kufikiri wakatangaza kuwa watachukua hatua za kijeshi endapo raisi wa Niger aliepinduliwa...
Haitakaa hata siku Moja wazungu wakakaa na Watanzania kumsaidia uchumi wa nchi bali watakaa watanzania na wazungu kuua uchumi wa nchi. Kwasababu kama wangekuwa na nia ya kuisaidia Tanzania wangeisaidia siku nyingi sana. Tanzania haiwezi kuwa na uchumi imara kwasababu wananufaika na umasikini na...
Umaskini wa mwafrika uko kwenye kushindwa kutumia siasa katika kuamua mambo yetu.si kila kitu utatumia siasa.kwa mfano ukitumia siasa hovyo kwa mambo ya afya ujue utaua wengi. Kosa letu zinpokuja hoja, tunaacha kujadili hoja badala yake tunajadili akili za wapinzani wetu. Kwamba yule mpinzani...
Naam, nimefuatilia miaka mingi kuona utendaji wa vyama tawala Afrika ni kama vimejisahau vinafanya mambo kijinga kabisa. Hii mara nyingi husababishwa na kutafuta fedha kwaajili ya uchaguzi ili kuhonga wapiga kura. Kilicho fanywa na serikali ya CCM Tanzania ni mfano wa mawazo ya hovyo kabisa...
Leo ni siku ya kiswahili duniani. Maktaba app ingependa tuanze kusomea moja ya kitabu kipatikanacho ndani ya Maktaba app. whatsapp 0715278384.
UTANGULIZI 12 Nokora mpumbavu
Hali ya Mtumwa
Kawambwa na makapu ya karanga
Tony mwana wa D. C.
Kijibwa cha mzungu
Togolo na mavazi ya Kijarumani
Kanga...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...
Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.
Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa...
Nilishaongea sana na sasa naona kazi kurudia . Icheki hii video fupi hapo chini uone jinsi akili za Mwafrika huyu na ma bodyguards wake
Mimi ni Mtanzania ila simjui huyu kijana I mean sio maarufu sana, sio potential sana kwamba anaweza kuvamiwa akitembea mchana maeneo ya wazi hasa pahali...
Juzi hapa Netflix waliachia Trailer la series inayohusu maisha ya Malkia Cleopatra wa Misri. Baada ya trailer hiyo watu(ambao sio Negro/Weusi) wameponda sana kumuweka/kumuonyesha Cleopatra alikuwa mweusi.
Wanasema hawataitizama kwakuwa haikisi ukweli kwamba Cleopatra alikuwa mweusi.
👉Kuna watu...
Kibaya zaidi Mwafrika hataki kabisa kukiri kuwa akili zake ni finyu au hana akili kabisa.
Kila mtu hapa Afrika ni daktari, ukiumwa kidogo utasikia kunywa maji mengi. Kula matunda. Ukimuuliza hayo maji yanafanya vipi moa mtu apone hana jibu.
Karne hii bado kuna watu wanawafundisha Waafrika wenzao...
WADAU
AWAMU YA KWANZA ya uongozi Tz ilitoa fursa ya kuchapishwa maandiko ambayo yalikuwa na mafundisho muhimu kwa kutumia maudhui ya kujikosoa na ambayo yalitupa mafundisho mengi. Moja ya maandiko hayo ilikuwa kupitia vijitabu vidogo vilivyoitwa, UJINGA WA MWAFRIKA"
Miongoni mwa maandiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.