Huyo mama wa kizungu anaonesha mtazamo wa wazungu walio wengi dhidi ya Afrika, ingawaje hata huyo mtoa mada ni mzungu. Lakini, mtoa mada inaonekana anaongea hivyo baada ya nchi yake, Ugiriki, kupigika kiuchumi. Mama huyo anahofia maisha yao ya mbeleni endapo Afrika itaamka kiakili, kiuchumi, na...